makamu wa Rais aingia na kutoka Arusha

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
nimekutana na msafara wa Dr Bilal ukielekea KIA.
Taarifa zinasema amefanya ziara ya ghafla jijini arusha.nafuatilia sababu ya ziara hiyo nikipata nitawajuza.

Kwa mujibu wa ITV dr. Bilal amehudhuria ufunguzi wa bank ya ABC.
 
utujuze bana....maana hatuelewi ni kwa nini viongozi wanatukwepa sisi wakazi wa Chuga.....
 
Ina maana simu haziaminiki siyo? Au mambo ni mazito kiasi kwamba lazima awepo Arusha physically?
Kikwete alijua nini kinataka kutoa ndiyo maana akaenda kwenye mkutano wa 'mawaziri' ili mradi tu asiwepo nyumbani wakati uji unachemka!
 
PM naye alikuwa huko jana alikwenda kukagua viwanda vya maswahiba wa mkuu wake,Minjingu phosphate cha tosky hans,AtoZ,sunflag,ila nimeshukuru kama aliiona General tyre inavyotia huruma japo aliiangalia kwa mbali.
 
ila inabidi hawa watu waseme kweli ivi EL anaaminika sana ndani ya jani la mgomba?na siyo sri sasa hivi wanahaha sana.
 
Labda inahusiana na story ya yule Mwenyekiti wa UVCCM Arusha ambaye amedefect kwenda CHADEMA.
 
nimekutana na msafara wa dr bilal ukielekea kia.
Taarifa zinasema amefanya ziara ya ghafla jijini arusha.nafuatilia sababu ya ziara hiyo nikipata nitawajuza.

huyu jamaa alikuja kufungua tawi la bank hapa arusha kwenye jengo la arusha complex( kwa salim ally) hii bank inaitwa banc abc watu waliokuwepo walimpa v na maneno ya peoplessssssss!!! Akanuna lakini akawa mvuvilivu na mwishowe alipomaliza tu ufunguzi akaishia kia
 
wajuvi wa mambo hebu tudadavue!kama ni kweli amekuja arusha kwa kodi za wananchi kufungua benk binafsi hii ni sahihi?ingekuwa ufunguzi umemkuta huku sawa lakini napata shida kufikiri aje kwa lengo hilo tu?
 
There is something cooking in AR. Hawa vigogo wa Serikali na magamba mbona wanakuja sana hapo baada ya kumuengua Lema kwa hila za ki-mahakama??
 
huyu jamaa alikuja kufungua tawi la bank hapa arusha kwenye jengo la arusha complex( kwa salim ally) hii bank inaitwa banc abc watu waliokuwepo walimpa v na maneno ya peoplessssssss!!! Akanuna lakini akawa mvuvilivu na mwishowe alipomaliza tu ufunguzi akaishia kia
Mkuu leo niko maeneo hayo tangu asubuhi lakini sikusikia kama makumu wa raisi yuko pande hizo au bado wanafanya mambo yao kimya kimya....
 
kitaeleweka tu si unajua EL akifumuka ataacha machafuko ndani ya arusha na ccm kwa ujumla
 
mbona kwao zanzibar haindi kufungua au ndio hakuna cha kufungua kule kuna mambo wanayapika hao ndio hawaishi huko
 
Back
Top Bottom