Madaktari na Ikulu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madaktari na Ikulu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zomba, Apr 15, 2012.

 1. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Madaktari walikumbana na nini Ikulu? vinara wa mgomo hatujawasikia tena, hata kwii hakuna.

  Mlitaka kuonana na Mkulu nyinyi wenyewe, vipi? tupeni mkasa wa huko, maana hii si kawaida. Kuna fununu kuwa wale vinara wote hawataki hata uongozi wa hicho chama cha madaktari, kwa ufupi wameufyata.

  Madai yenu hayajatimizwa, na kuufyata mmeufyata na nna uhakika mmekoma na hamtorudia tena, labda waje viongozi wengine ambao hawajui yaliyowafanya muufyate. Kwi kwi kwi Teh teh teh.

  Cheza na dola nyinyi.
   
 2. C

  Claxane Senior Member

  #2
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nafikiri unatafuta walichojibiwa na hutopata
   
 3. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Chezea kikwete wao?
  Mwanadiplomasia huyo!
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Unawakejeli wakati walikuwa wanakutetea wewe ili upate kupata vipimo vyote pindi uendapo hospitali za serikali au wewe ndiwe mwimbili ndo airport yako then matibabu India
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  kwahiyo mwanadiplomasia ndo anatakiwa kuwanyima binadamu haki zao?
   
 6. c

  chitage Member

  #6
  Apr 15, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 41
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Taarifa rasmi ni kwamba hadi sasa vikao vya majadiliano kati ya madaktari na team ya serikali bado vinaendelea na taarifa ya majadiliano hayo itatolewa kwa madaktari na wadau wengine muda si mrefu.Ni lazima ieleweke kwamba hakuna vitisho wala kunyamazishwa kwa viongozi wa madktari.
  Lengo letu ni kutafuta suluhu ya kudumu itakayopelekea mgogoro kama huu usijirudie tena na kama ukitokea basi utatuliwe mapema bila kuathiri wagonjwa kama ilivyotokea.

  DR.EDWIN CHITAGE

  MJUMBE WA KAMATI YA MAJADILIANO.
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Walikuwa si watetezi bali wauwaji, huwezi cheza na maisha ya wagonjwa eti kwa kuwa unatetea maslahi ya wagonjwa wengine. Huo ni punguani wa hali ya juu. Walichokipanda wamekivuna na nnajivuna kuwa na Rais kama Kikwete ambae amewafanya waufyate.

  Nna uhakika wamekoma na hawatothubutu tena.
   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Apr 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Naona umekuja na lugha mpya. Kama kweli ulikuwepo Ikulu, umejifunza namna ya kuongea. Hakuna aliyeongelea vitisho humu. Tunasema mmekoma, mmeufyata na hamta rudia tena.

  Jee, ni wangapi kati yenu waliojiuzulu baada ya kutoka Ikulu? Mbona hilo hausemi?
   
 9. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #9
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,195
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Ribosome Nakuunga mkono mkuu kabla ya kuonana na Raisi yalikuwa yanapiga mikelele ili kutafuta sympathy ya wananchi miuwaji mikubwa ile imechimbwa mkwara karibu ijiharishie kwa woga sasa hivi inapiga mzingo kwa maslahi yaleyale wanataka mkuu asisafiri ili hiyo hela walipwe wao? Mbona walivyokutana na waziri mkuu walituambia yaliojiri kwenye mkutano.

  Hawana lolote hawa wanaiba dawa na vifaa wanapeleka kwenye dispensary zao sasa wanataka Serikali iongeze vifaa na madawa ili waibe zaidi mafisadi ya roho za watu mkwara mmoja tu kimya kwi kwi kwi kwi kwi!!!!!!1
   
 10. K

  Kashindye J.J Member

  #10
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nahisi we jamaa ni mgonjwa kabisa na ninadhani ulizaliwa na Mtindio wa ubongo (Cerebral Palsy. Hivi sijui ueleweshwe vipi ili uelewe kwamba hapa hakuna cha kutishwa wala kuufyata, kilichofanyika ni busara tu madaktari kurudi kazini huku majadiliano yakiendelea. Na hii ni kutokana na rais kuonesha nia ya kutatua mgogoro huu, ambao wasaidizi wake walikuwa wanacheza danadana.
   
 11. E

  Eugeniafaith Member

  #11
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  If you continue arguing no one will notice the difference between politics and science..
   
 12. Higash

  Higash JF-Expert Member

  #12
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  kwa maelezo haya wewe si great thinker, mbumbumbu tu.
   
 13. C

  Claxane Senior Member

  #13
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mtoa mada kavae pampers unaozesha godoro
   
 14. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #14
  Apr 15, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  Naamini wamenyamaza lakini wagonjwa tutakoma tukomae maisha na tunaoshangilia tutakiona hata tutaenda private hosp
   
 15. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #15
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mi ninachojua hela za idara ya afya zimeanza kupelekwa mahospitalini kwa wakati!
   
 16. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #16
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  IQ ya madaktari ni level ya juu sana kwako. Unataka wakupe ripoti kwani wewe pia daktari? Endelea kufikiria kwa kutumia masaburi.
   
 17. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #17
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Safisha ubongo kabla ya kuongea. Kwako wewe daktari ni mtu yeyote unayemuona dispensary, kituo cha afya, na hospitali. Kama 'daktari' wako wa kituo cha afya anakuibia dawa basi na ukome. Toka lini daktari akahusika na mambo ya madawa?
  Na wataendelea kuwaua tu mpaka haki zao wazipate!!! Na hata wakipata ripoti watawapa madaktari.
   
 18. mawazo mbishi

  mawazo mbishi Member

  #18
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 3
  Nadhani kuwadhihaki na kuwatukana haitatusaidia, walijaribu kutuonesha kuna matatizo na hayo matatizo yako katika sekta zote nchini. nachukulia huko kama tu kutukana wakunga.............

  Nadhani waliowahi kuhitaji huduma za hospitali zetu wanajua hali ilivyo mule ndani, bado kuna upungufu na wao kukaa kimya si kwamba shida zetu zimekwisha. Bado mazingira yao ya kazi si mazuri na ukihitaji huduma utaipata kwa tabu.

  Kwa bahati nzuri wengi kwenye hili jamvi tuna fursa ya kupata hizo huduma za afya kwa urahisi iwe kwa kulipia au kwa wale walio katika mifumo ya bima za afya, ila kwa wengi wa watanzanania bado hali ni ngumu, na haielekei kubadilika siku za karibuni.
   
 19. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #19
  Apr 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hizo busara baada ya kwenda Ikulu? wameufyata, waziri yuleyule na naibu yuleyule. Si walijidai kumpa ultimatum Rais?

  Cheza na dola wewe?
   
 20. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #20
  Apr 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hali inajulikana na jitihada za kuboresha huduma ya afya inajulikana toka Kikwete aingie madarakani. Ni mengi sana kayafanya, pita vijijini ukaone vituo vya afya vipya, vinapendeza, hao madaktari mbona wanagoma kwenda huko kama ni kweli wanapenda kusaidia wenzao.

  Hao walijidai wajanja, Kikwete alikuwa kimya siku zote, alipokutana nao wanajuwa walichokumbana nacho kutoka huko kimya, wameufyata. Na nnakuhakikishia watakuwa na adabu daima.
   
Loading...