Zitto katika hili la Tigo Umenena

Shadow

JF-Expert Member
May 19, 2008
2,897
671
Najaribu kulifuatilia Bunge katika maswali na majibu...Umiliki wa hisa asilimia 100% za Tigo na Wageni ni la msingi. Suala la uuzwaji wa hisa za serikali(?) Kabla ya uchaguzi Mkuu 2005 Kinyamera unatia shaka....Majibu ya NW ni ya kiubabaishaji... Swali linahusu 2005 na yeye anakazania sheria na Kanuni za mwaka 2010.
 
Kazi kusifiwa watu tu, na wewe hujaeleweka. Hivi point za wengine huwa hamzioni mnaona za Zitto tu huyu jamaa ameweka mamluki wake wengi sana kwenye jamii forums.
 
Ni kweli mkuu, hivi Zitto na Arfi ni nani anastaili ktk hili
 
Kazi kusifiwa watu tu, na wewe hujaeleweka. Hivi point za wengine huwa hamzioni mnaona za Zitto tu huyu jamaa ameweka mamluki wake wengi sana kwenye jamii forums.

Acha mambo ya unafki hujaangalia bunge, ungeangalia usinge sema hivyo ukwel uko wazi bwana, wabunge wa cdm kazi zao bungen zinaonekana waziwazi acha donge bwana!
 
kweli kabisa naibu waziri hajajibu swali ipasavyo, kapiga siasa tu. Zitto anawatia akili sana hawa mawaziri
 
hebu jaribu kuweka CV ya Zitto na huyo Naibu waziri, halafu ni umri wao, hapo utakua umepata jibu, ukiwa CCM wewe ni mzigo tu
 
ila bwana mhe Sitta kasema vizuri sana kuwa litafuatuiliwa na majibu yatatolewa. kimsingi NW hajui chochote
 
zito ni sawa na wabunge 100 wa ccm.

Zito ana uwezo mzuri sana Tatizo lake anadhani yuko pale kama yeye na si Chama na viongizi wenzake pamoja na wanachama. kwa ujumla ana katabia kausaliti sometimes.
 
Sio tarbia ya kiusaliti BALI ANAJIAMINI SANA KWA YALE ANAYOAMINI NI SAWA KWAKE.

Kijana mzuri sana na wangepatikana wabunge 15 wenye tarbia kama zake basi Tz mngekuwa pazuri sana. Kwani yeye si miongoni mwa wale wa kusubiri kulishwa.

Hongera Zitto
 
kwa vyovyote vile Zito atakacho fanya ni Mbunge wa CDM na watu wanajua hilo,so anawakilisha CDM na sioni tatizo kwa hilo.
 
Sio tarbia ya kiusaliti BALI ANAJIAMINI SANA KWA YALE ANAYOAMINI NI SAWA KWAKE.

Kijana mzuri sana na wangepatikana wabunge 15 wenye tarbia kama zake basi Tz mngekuwa pazuri sana. Kwani yeye si miongoni mwa wale wa kusubiri kulishwa.

Hongera Zitto

Barubaru umeibuka tena mkuu,
Ukisikia Zitto amaguswa ni sawa na kusikia cuf imeguswa, lazima utie neno.!!! Kumbe wabunge wenu wa cuf wanalishwa? kuku wa kisasa!!? Nadhani huko mbele ya safari utahamia chadema tu, kumkubali Zito ndio mwanzo wa safari yenyewe.
 
Najaribu kulifuatilia Bunge katika maswali na majibu...Umiliki wa hisa asilimia 100% za Tigo na Wageni ni la msingi. Suala la uuzwaji wa hisa za serikali(?) Kabla ya uchaguzi Mkuu 2005 Kinyamera unatia shaka....Majibu ya NW ni ya kiubabaishaji... Swali linahusu 2005 na yeye anakazania sheria na Kanuni za mwaka 2010.

Inaonekana katika wabunge 300 ni Zitto anayetumia muda wake kujisomea na kufanya tathmini ya hali ya sasa
 
Kazi kusifiwa watu tu, na wewe hujaeleweka. Hivi point za wengine huwa hamzioni mnaona za Zitto tu huyu jamaa ameweka mamluki wake wengi sana kwenye jamii forums.

Khah! wacha chuki na wivu wa kike, utajiumiza bure kumchukia aliejaaliwa.
 
Back
Top Bottom