Tuanze kwanza na KATIBA ya tanganyika; KATIBA mpya ya muungano ifuate | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuanze kwanza na KATIBA ya tanganyika; KATIBA mpya ya muungano ifuate

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by shumbi, Apr 15, 2012.

 1. s

  shumbi Senior Member

  #1
  Apr 15, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 180
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  [FONT=&amp]Ni ukweli usiopingika kuwa muungano wetu una mapungufu makubwa japo watawala wetu wanaona kama dhambi mtu kutamka hili, lakini ukweli utabaki palepale. TANGANYIKA kwa muda mrefu imeonekana kama ndio TANZANIA ndio sababu wazanzibari wanalalamika kila kukicha wakifikiri wamemezwa na TANZANIA(wakifikiri ndiyo TANGANYIKA). [/FONT]
  [FONT=&amp]Lakini ukweli ni kwamba TANGANYIKA iepuuzwa sana. [/FONT]
  [FONT=&amp]kwa mfano;[/FONT]

  [FONT=&amp]ZANZIBAR ,[/FONT]
  [FONT=&amp]1) Wana majeshi (wanaita vikosi maalum)[/FONT]
  [FONT=&amp]2) Zanzibar inatambulika kama nchi na mipaka yake (katiba ya zanzibar)[/FONT]
  [FONT=&amp]3) Wana wimbo wao wa Taifa[/FONT]
  [FONT=&amp]4) Wana bendera yao[/FONT]
  [FONT=&amp]5) Wana serikali (Rais wao, baraza la wawakilishi)[/FONT]
  [FONT=&amp]6) Wana KATIBA yao[/FONT]

  [FONT=&amp]Katika huu mchakato wa kuunda katiba mpya ya muungano; Tufikirie kwanza kuwa na KATIBA YA TANGANYIKA (TANZANIA BARA), Halafu tuunde katiba mpya ya muungano(kama italazimu) kwa kupitia katiba mpya ya ZANZIBAR (Ipo tayari) na katiba mpya ya TANGANYIKA(haipo kabisa; imepuuzwa kwa muda mrefu)[/FONT][FONT=&amp] kwa kutekelezwa kwa haya hakika utata juu ya muungano utakwisha; Wazanzibari wataiona TANZANIA yao badala ya kufikiri ndiyo TANGANYIKA.[/FONT]

  [FONT=&amp]MUONEKANO WA ZANZIBAR NA MUONEKANO WA TANGANYIKA VIFANANE.[/FONT][FONT=&amp] ZANZIBAR wanapendelewa sana ndio sababi wanafikiri kuwa huu muungano una lengo baya juu yake (wanafikiri wanapewa danganyatoto).[/FONT]
   
 2. m

  mpemba safi New Member

  #2
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yakhe mulikua wapi sisi huku muungano hatuutaki wala sisi hatujashawishiwa na mtu viongozi wanapata maslahi ndio maana wanajifanya hawaelewi tudhalilike sisi kwa maslahi yao laaa ilikua zamani kuogopana tunataka jamuhuri ya watu wa Zanzibar kwanza katiba zote huko mutajuana baadae
   
 3. m

  mpemba safi New Member

  #3
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  khabari ndiyo hiyo na hiyo ndiyo khabari
   
 4. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Naunga mkono hoja, hata hivyo si tunajadili ile ya Tanganyika, kwani vipi?
   
 5. k

  karafuu Member

  #5
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani wazanzibar wanajitahidi kutusaidia tupate katiba yetu lakini hatujalitilia mkazo kwa serikali yetu,labda mchungaji Mtikila tu wengine wamelala.
   
Loading...