Ccm waanza unafiki arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm waanza unafiki arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PISTO LERO, Apr 17, 2012.

 1. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Katika hali ya kushangaza baada ya jimbo lenye utajiri mkubwa la ARUSHA kuangukia mikononi mwa chama cha upinzani CHADEMA serìkali ya ccm ilipata mshuko mkubwa mpaka kupelekea mwenyekiti wa ccm taifa kusema anafikiria kuhamisha shughuli za kitalii mkoani humu,na katika hali ya kutekeleza mpango huo mikutano yote ya kitaifa na kimatafa na hata ile ya africa mashariki iliyozoeleka kufanyika ARUSHA,ilihamishwa na kuelekezwa Dar-Es-Saalm,na kama vile haitoshi ccm kupitia mahakama kuu ya arusha walimvua ubunge mbunge wa arusha mjini G,LEMA, baada ya hapo tu bila hata subira na katika hali inayoonyesha ulikwa ni mpango mahususi,serikali imeanza sarakasi katika jambohili,sasa tunashuhudia mikutano ya serikali ma kimataifa na shighuli mbalimbali za kiserikali ziakianza kwa kasi ya ajabu,tunashuhudia ziara za viongozi wa kiserikali zisizo na kichwa wala miguu, swali la kujiuliza ni kuwa kwanini kabla ya kumwengua G,lema hawakùonekana? Kunanini kimewavutia sasa baada ya kuwasusa wana arusha kwa muda mrefu, Nawasihi wana Arusha tuwe makini na watu hawa ni wanafiki na hawana nia ya dhati kwa wana Arusha,ni wanafiki na hawatufai.

  TUJADILI KWA KINA
  ASANTENI NAWASILISHA
   
 2. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  analysis yako ni ya kinadharia. mbona mikutano ya kitaifa na kimataifa imekuwa ikiendelea tu hata wakati wa lema? tusiite kichuguu mlima.
   
 3. S

  STIDE JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hapo kuna pointi mkuu!! Hawa jamaa ni wanafiki sana hata aibu hawana!!
   
 4. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Angalia usijenge dhana hasi hapa kuwaogopesha wana arusha, kuwa lema akirudi sasa hiyo mikutano itahamia tena dsm na kuwa mapato yatapungua, huwezi kuhamishia kilimo cha maua, wale wanyama wa serenget, uwanja wa kia , na arusha, hali ya hewa kuja dsm eti kuwakomoa akina cdm! Hapana hilo halipo tena ondoa wasi.watakachokosa wana arusha kama watajishika na cdm ni kutona tena wizi wa mali za umma toka jiji lao nk
   
 5. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Unaweza ukawa na logic lakini umewasilisha kishabiki zaidi kuliko kiuhalisia.
   
 6. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #6
  Apr 17, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bidhaa yoyote ikifikia expire date huwezi kuifanya mpya ikiwa kama ilivyo,ccm iko katika expire date kukurukakara hizo ni sawa na mfa maji!
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Apr 17, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  we upo Arusha ipi?
  Anyway, mikutano ya Mafreemason ndiyo imehamishiwa Dar.
   
 8. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #8
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,643
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Katika product life cycle, CCM imepita kwenye maturity, sasa graph inashuka chini.

  Rebranding inatakiwa sana, otherwise, wajiandalie matanga.
   
 9. seniorgeek

  seniorgeek JF-Expert Member

  #9
  Apr 17, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 500
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mi sijaona tofauti yoyote.
  Mikutano ilikuwepo na itaendelea kuwepo.
   
 10. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #10
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Chama ambacho kimepoteza dira huwa kinakufa. Ukingangania chama hicho unaharibu dhamira yako juu ya uzalendo.
   
 11. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #11
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  wakuu nimepata shuhudia sarakasi kama hizi mkoani kilimanjaro ni
  mfano: ccm wakiona kuna wezekano mahala flani cha kwanza utakacho kiona ni ziara zisizo na tija za viongozi wa chama na serikali.

  fursa za mikopo na kuwawezesha kina mama huanzishwa mara moja,akima mama watakopeshwa vyerehani na vingine vingi. Cha ajabu nilicho kiona wakishindwa au wakikosa walichokuwa wanataka akina mama hunyanganywa vyote walivyo pewa au waliokopeshwa huanza kunyanyaswa na kufanyiwa vurugu za kila aina,(soko la mbuyuni moshi mjini)kwa wakazi wa mkoa wa kilimanjaro wanalifaham hili vyema.lakini nawapa hongera kwakuwa imara na kutokubali kutingishwa. sina nia ya kuwatisha wanaarusha wenzangu bali kuweni makini na hawa watu (akina mama),kama si leo basi kesho,matokeo mtayaona,
   
 12. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #12
  Apr 17, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  tunawaomba watujengee lami shaaa kabla hatujamruisha lema madarakani.
   
 13. L

  LAT JF-Expert Member

  #13
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  huwezi kubadilisha geographical location ya Arusha pamoja na features zake zote ukaipeleka mahala popote pale duniani ... huwezi hamisha mlima meru, manyara, Tarangire, Ngorongoro crater, mererani na geographical border with Nairobi distanced at about only four hours from Nairobi City ... huwezi kubadilisha na kuhamisha hali ya hewa ya Arusha ambayo inafanana na hali ya hewa ya nchi nyingi za ulaya na kuipeleka Dar .... huwezi kupata watu aggressive kwenye ujasiriamali kama Arusha

  kitendo hichi itakuwa ni kuhujumu uchumi wa nchi na kuiharibia au kupoteza mapato kabisaa na kuua fursa za kibiashara katika nchi hii

  acha arusha ibakie kuwa Arusha na ndiyo maana Arusha imechagua kuwachanzo cha mabadiliko katika nchi hii
   
 14. N

  NICE LAMECK JF-Expert Member

  #14
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bado wanacheza na arama za nyakati lakini wameshaona aiwezekani hata kwa kutumia shuruti kutwaa jimbo la Arusha waende likizo warudi bado Arusha ni ya CHADEMA.
   
Loading...