Maombi na mafungo ya Lema yajibiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maombi na mafungo ya Lema yajibiwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dotto, Apr 16, 2012.

 1. d

  dotto JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ndugu wanaJf kama mnakumbuka baada ya sakata la kuvuliwa ubunge na mahakama katika hali ya mizengwe Mh.Lema alisema nafunga kwa siku saba. Na kama mnavyoona mkanganyiko ulioko Arusha ndani ya CCM ni dhahiri kuwa Mungu anajibu mapema. Naona tusubiri mengine mengi tu!!
   
 2. d

  dguyana JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  M4C!!!!!!!!!!!!!! Huu nimwanxo tu na bado.
   
 3. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Kama haya majibu ya mfungo wake naomba atutajie jina lake na wengine tumuombe, hali ya uchumi sio nzuri.
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Duh . . . . .
   
 5. d

  dotto JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mkuu ufalme wa Mungu uko ndani ya mtu na sio barabarani na wala kwa jirani. But, alichoamua yeye Lema kilianzia ndani yake na kukifanyia kazi mwenyewe na Mungu wake. Jaribu na utaona!!
   
 6. d

  dotto JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Sidhani kama alishalifikiria hilo. labda kama utalianzisha hilo wazo lako na isije ukatangulia wewe!!
   
 7. T

  Triple DDD Senior Member

  #7
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CDM wapo makini, subiri tu mtaona
   
 8. KirilOriginal

  KirilOriginal JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 1,927
  Likes Received: 449
  Trophy Points: 180
  Wacha mchezo na mwombaji mpiga magoti, na ujue kaburi wanalowachibia Chadema, wao ccm watatumbukia wenyewe c'est fini, kwisha habari yao.
   
 9. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #9
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tunaendelea na mfungo ili turudie uchaguzi wa rais it is possible anweza kujiengua au akaenguliwa.
   
 10. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #10
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Nasikia kaenda brazil naomba akakabwe na mfupa wa samaki afe......
   
 11. d

  dotto JF-Expert Member

  #11
  Apr 16, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nchi hii tulipewa na wakoloni weupe kwa amani tupu itakuwa hawa wakoloni weusi. inawezekana kabisa kwa maombi tu mambo yakajipa soon.
   
 12. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #12
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  miujiza haikuishia kwa wana wa israel bali mpaka leo ipo haki haipote kwa ujinga wa wachache hata kama si lema kuna wengine wanaomba kwa roho za huzuni wakiona jinsi gani nchi inanyonywa na maombi, kilio, na sema nabado mtaona mengi sana
   
 13. MZEE WA ROCK

  MZEE WA ROCK JF-Expert Member

  #13
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 623
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hili li baba mwanaasha gamba lake gumu tumfungie siku 30 maombi yetu yatajibiwa tu
   
 14. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #14
  Apr 16, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Tunaambiwa hii ya Leo ni mtoto, tusubirie mtikisiko wa magamba hapo kesho!

  Wao wana Fedha za Freemason

  Sisi CHADEMA tuna Mungu!
   
 15. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #15
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ninachoju kabisa kabisa, Mungu huwa anajibu maombi yanayofuata neno lake.

  Kuna hii: [SUP]14[/SUP]And this is the boldness which we have toward him, that, if we ask anything according to his will, he heareth us: [SUP]15[/SUP]and if we know that he heareth us whatsoever we ask, we know that we have the petitions which we have asked of him American Standard Version. 1995 . Logos Research Systems, Inc.: Oak Harbor, WA (1 John 5:14)
   
 16. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #16
  Apr 16, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Omba Lema, hata kama ubunge huna but CDM watakupa kazi ya kipato tu. We love you all. Watapata pigo mara mia saba sabini! Nakusifu na wafuasi wako AR mmedumisha amani. I lways tell people CDM ni chama cha amani. Wanaoleta fuji CDM ni mamluki wa CCM kama akina Milya. I love peoples power, tuanze kampeni za urais mapema.
   
 17. L

  LULENGO Member

  #17
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kamanda Lema hapo nimekupa zote sasa magamba full presure,na bado hata baba mwanaisha yuko mbioni kusepa
   
 18. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #18
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  mmmh! Kaaazi kwel kwel.
   
 19. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #19
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  kwani waliompora ubunge ni CCm-arusha au Ikulu

  mimi nilitazamia mkanganyiko utokee (serikalini)Ikulu
   
 20. dallazz

  dallazz Senior Member

  #20
  Apr 16, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kweli yakheee.
   
Loading...