TBC Kufunga matangazo yake wakati wowote kutoka sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TBC Kufunga matangazo yake wakati wowote kutoka sasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Froida, Mar 28, 2012.

 1. F

  Froida JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Taarifa ya habari saa mbili,

  Nkamia akimwombea mwajiri wake wa zamani fedha toka serikali amesema TBC itafunga matangazo yake wakati wowote kuanzia sasa, akithibitsha hali hiyo amesema hawana kamera, vifaa vya kuchanganya matangazo hawana na kwamba 1.2 bilioni waliyopewa ni kwa umeme na millioni 500 ni ndogo walizopewa za uendeshaji

  My Take:
  Ni heri TBC ifungwe kwani haitusaidii kitu wanaendekeza libeneke la kuminya demokrasia
   
 2. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  TBC imekosa mshiko. Ni bora waifunge mapema kabla Aljazeera haijaanza kurusha matangazo.
   
 3. C

  Chibenambebe Senior Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sijawafuatilia jamaa nna miez kama 8! Acha wapumzike
   
 4. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  na hela ya ving'amuz inaenda wapi?
   
 5. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 592
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Du afadhali japokuwa kuna rafiki yangu anafanya kazi ila wanafanya kazi kwa hofu wasijefukuzwa kazi ndiyo maana hata magazeti utakuja kichwa tofauti na yale anayoyasoma.
   
 6. F

  FJM JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  TBC - TIDO MHANDO = TvT = National embarrassment.
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Siungi mkono TBC ikifungwa coz nahurumia wafanyakazi na familia zao zitazoaffectika kwa redundacy!!!
   
 8. Abdillahjr

  Abdillahjr JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwa wachina,halafu magamba makuu yanayohusika na mkataba yanaenda kuchukua commission zao na nyingine zinatumwa malasia na singapore kulipia ada na pocket money za watoto wa magamba!!!
   
 9. Kiwewe

  Kiwewe Senior Member

  #9
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sasa hizi chaguzi nyingine ndogo zinazofata watapigia wapi propaganda. Lazima watatafuta kodi zetu toka vipaumbele vingine vya mihimu na kuzitupia kwenye hili jalala la TBC.
   
 10. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #10
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,859
  Likes Received: 1,298
  Trophy Points: 280
  Mungu ibariki tz,mungu ibariki tbc
   
 11. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #11
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,540
  Likes Received: 10,465
  Trophy Points: 280
  R.I.P tbc ccm.
   
 12. Eraldius

  Eraldius JF-Expert Member

  #12
  Mar 28, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Na wawahi kabla ya tarehe 1 April 2012
   
 13. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #13
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  bora ifungwe tupunguze matumizi ya kodi kwenye mamba yasiyo na tija.
   
 14. Eraldius

  Eraldius JF-Expert Member

  #14
  Mar 28, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  wawahi kabla ya 1 April 2012
   
 15. mwakichi

  mwakichi JF-Expert Member

  #15
  Mar 28, 2012
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 420
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  eeh mungu saidia.
  Saidia na tanesco pia ishindwe kwan inadaiwa deni la 477 bil na wanapewa mkopo wa 408 bil
  eeh mungu saidia
   
 16. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #16
  Mar 28, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Bora ifungwe. Wanaboa sana
   
 17. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #17
  Mar 28, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,200
  Likes Received: 10,545
  Trophy Points: 280
  Mungu akubariki na akuponye na ombwe la ujinga lililo kichwani mwako.
   
 18. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #18
  Mar 28, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,200
  Likes Received: 10,545
  Trophy Points: 280
  Walichelewa sana ilitakiwa kufngwa siku nyingi sana. tbc=ccm=janga la taifa.
   
 19. Kibwagizo

  Kibwagizo Senior Member

  #19
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vp jamaa zetu wa ''HUNILIPI SIKULIPI'', ''UMEFULIAAAA......'', ''PIGA CHINI''
   
 20. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #20
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Safi sana tbc tutakutana ahera town mungu akipenda
   
Loading...