Kuiwakilisha JF Leo, Running To The Finishing Line! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuiwakilisha JF Leo, Running To The Finishing Line!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by W. J. Malecela, Apr 17, 2012.

 1. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,609
  Likes Received: 1,896
  Trophy Points: 280
  Wakuu wote JF, heshima mbele sana you know!

  - Unajua hapa JF Kumkoma Nyani ndio our home, no matter what this is our sweet home it where we started our political inspirations, it is where we were taught how to argue kwa hoja, it is where we were taught TAIFA MBELE, sasa leo we are going to lay it all at the Parliament floor, SO HELP ME GOD! AND JF PRAY FOR US TOO YOU KNOW!

  - NOW MY PEOPLE JF LETS GO, IF YOU KNOW WHAT I MEAN LEO JF UWANJANI; YOU KNOW I AM A JF PRODUCT AND PROUD OF IT AND HOPE THIS JUNGLE WILL PRODUCE MORE BRIGHT LEADERS IN THE FUTURE FOR OUR NATION; LOVE YOU ALL JF!

  TAIFA MBELE! NA MUNGU AIBARIKI TANZANIA NA AIBARIKI JF! TUENDELEE KUKUBALI KUTOKUBALIANA KIHOJA!


  William @Dodoma City!
   
 2. M

  Mnyama Hatari JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 335
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Una rep JF tena? Haya kila la kheri!
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Nimetoka kapa kabisa aisee...
   
 4. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #4
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,609
  Likes Received: 1,896
  Trophy Points: 280
  - Ha! ha! ha! ha! ha! ha! just wanted to release some pressure you know, been working all night on my speech! ha! ha! ha!

  William @Dodoma City!
   
 5. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #5
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,609
  Likes Received: 1,896
  Trophy Points: 280
  - Off course, any JF member akigombea anything positive kwa Taifa, anawakilisha JF! au? ha1 ha! ha!

  William @Dodoma City!
   
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,392
  Likes Received: 81,412
  Trophy Points: 280

  Which speech Mkuu!?

   
 7. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #7
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Vipi; je uchaguzi utaendelea wakati kuna mvutano?.

  Mbona William @Dodoma City! haikuwandikwa hivi William @Dodoma City!
   
 8. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #8
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,791
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Hata ukinichukia
  La moyoni ntakwambia.
  Mlala na Mbwa siku zote huamka na Kupe.


  Find out what i mean...
   
 9. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #9
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,173
  Trophy Points: 280
  Usurpers and pretenders.

  Bango la JF kakupa nani?

  Siku hizi hata nyani naye atasema "kumkoma nyani giladi" ili apate mtaji wake.
   
 10. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #10
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,609
  Likes Received: 1,896
  Trophy Points: 280
  - Na wewe gombea utatuwakilisha JF, ha! ha! ha! ha! ha!, sometimes mengine ukubali mkuu ni FACTS OF LIFE!

  William @Dodoma City!
   
 11. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #11
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,609
  Likes Received: 1,896
  Trophy Points: 280
  - Ilipokuwa @New York City; mlipiga kelele sana kwamba ni ulimbukeni, now this time sijasikia anything toka iwe @Dodoma City, au? ha! ha! ha! ha! ha!

  William.
   
 12. M

  Mnyama Hatari JF-Expert Member

  #12
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 335
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mazee hizo ha! ha! ha! ha! ha! ha! niaje tena?
   
 13. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #13
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  All the best William! Litendeeni wema taifa letu, jaribuni kulifanyia mambo mazuri yatakayoishi ndani ya mioyo ya watu. We are still walking instead of running, we are still in 1980's while we are suppose to be in 21st century. You are one of the personel with an opportunity to help us. Please, help this country and our people.

  All the best William @ Dodoma City.
   
 14. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #14
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Mkuu mbona una-generalise watu. Kama wewe ulianza your "political inspirations" hapa JF basi una-assume "we" all begun here? Kama JF "taught you how to argue kwa hoja" basi you automatically assume that "we" also learnt this here? Kwamba kabla ya kujiunga na JF tulikuwa hatujui ku-argue kwa hoja?

  After all tumekuletea hoja kibao hapa lakini umezikwepa. Instead unakuja na self-styled threads praising yourself under the umbrella of "we". Ikitokea kesho usipitishwe basi utakuja hapa JF na kudai "we", kwa maana ya WanaJF, tumeshindwa?

  Kama JF ilikufundisha "TAIFA MBELE" basi unadhani wote hapa tulikuwa hatuweki taifa mbele mpaka tulipojiunga na JF sio eh? Unasema "we are going to lay it all at the Parliament floor." What do you mean by "we"? Yaani wewe kila unachoandika ni full utata. Seriously.
   
 15. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #15
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,173
  Trophy Points: 280
  Hujajibu swali. Mie nikigombea nitaheshimu watu na siwezi kujivika uwakilishi wao mpaka tukubaliane.

  Wewe hujakubaliana na wana JF tayari ushajivika uwakilishi, wengine tukisikia mtu kama wewe unajitambulisha kama muwakilishi wa wana JF tunataka kutapika.
   
 16. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #16
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,609
  Likes Received: 1,896
  Trophy Points: 280
  - Well, thank you brother sasa lets hope for the best na tukipewa nafasi ninasema kwamba tutakwua makini kwa sababu ishus za land ownership, free flow of labour, one currency, na Federation ni very challenging I hope Wabunge wetu wanaelewa hilo, kwamba kwenye all Regional Intergrations in the World kwenye treaty zao kuna one same principle nayo ni kwamba kama one patner state is not satisfied na mwenendo wa any element in the Union, wana haki ya ku-pull back kwa muda mpaka watakapokuwa tayari na it is ok by all the treaties in the World.

  - Ninasema ni muhimu sana kuwepo kwetu kwenye EAC, kwa sababu mfano wa United States wao kama sio Union walikuwa wamesshasmbaratishwa na The Great Depression na sisi tujifunze!

  Thanks Mkuu!

  William @Dodoma City!
   
 17. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #17
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,609
  Likes Received: 1,896
  Trophy Points: 280
  - Inaitwa Demokrasia kukubali kutokubaliana, kutapika kwa sababu bina-adam mwenzako anawakilisha forum yenu inajisema wazi kuhusu level ya ustaarabu wa bina-adam! ha! ha! ha! ha! ha!

  William @Dodoma City!
   
 18. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #18
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  wish u all the best.
   
 19. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #19
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,609
  Likes Received: 1,896
  Trophy Points: 280
  - Inaitwa kukubali kutokubaliana, it is ok with Demokrasia so be my guest bro na uwe na siku njema sana!, kumbuka the PR most important rule, nisipokuwa mtata huwezi kutaka kunisoma na kunijibu kila wakati as you do, au? ha1 ha! ha! ha! ha!

  William @Dodoma City!
   
 20. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #20
  Apr 17, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Tafadhali acha kuweka watu wote kwenye pakacha moja

  Kwa wengine ile wewe kujipa utukufu wa kudhani unaweza kuwawakilisha bila ya kuomba ridhaa yao, tayari ishakuengua kuwa mmoja wa miongoni mwao
   
Loading...