Jk ndani ya Arusha Wilaya ya Longido! Agawa ng'ombe wapatao 25,000/=, Imekaaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk ndani ya Arusha Wilaya ya Longido! Agawa ng'ombe wapatao 25,000/=, Imekaaje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by LiverpoolFC, Feb 19, 2012.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hbr nilizonazo ni kwamba leo Rais Jk ametingatinga ndani ya Wilaya ya Longido na kugawa ng'ombe tajwa hapo juu,baada ya ile janga la ukame la miaka minne iliyopita na kuwaacha wafugaji wa wilaya ile wakiwa ktk wakati mgumu kwani sehemu kubwa ya wakazi wa wilaya ile wanategemea ufugaji tu bila ya kujishughulisha na shughuli zingine.

  Hbr ndiyo hiyo!
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Chanzo cha habari?
   
 3. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  sasa hawa ng'ombe aliowagawa ni wamaziwa au? kwanini hakuagiza tu mkuu wa Wilaya agawe hao ng'ombe?
  Pili au ameenda kupiga kikombe cha babu tena nini maana alienda na gia ya kufungua unyayo wa Binadamu.....
  haya bwana JK na maamuzi yako....
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Angel Msoffe!

  Chanzo tena ya nini wakati nimeangusha kitu kama ilivyokuwa?
  Ama unafikiri nimedanganya JF?

  Hapa Mi nafikiri baadhi ya wanainchi wameenda kurudishiwa kodi zao.

  Mungu awape nini?
   
 5. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  mi nilifikili ni ng'ombe na hela tsh 2500/-. jaribu kuedit heading yako.
   
 6. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #6
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kugawa ng'ombe?! yeye kawatoa wapi hao ng'ombe? Sijakuelewa!
   
 7. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  lazma niulize mana juzkati hapa vasco dagama alisadikika alikua marekani na sijajua kama alisharudi
   
 8. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #8
  Feb 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160

  Leo kapata kavuta upepo mwanana wa Mount Meru.
   
 9. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #9
  Feb 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hbr nilizonazo ni kwamba hao ng'ombe wanaogawiwa wafugaji ni ng'ombe wa kienyeji walionunuliwa na wizara ya mifugo yenye thamani ya bilioni 2 na wanajaribu kuwanusuru wafugaji wengi waliopoteza ng'ombe zao wakati wa ukame ule ulioikumba Taifa miaka minne iliyopita.

  Na bila shaka hata kesho ataendelea na zoezi hili sehemu nyingine!

  Habari zaidi mtazipata!
   
 10. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #10
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,115
  Likes Received: 1,206
  Trophy Points: 280
  Huyu mtu hana lolote nchi imemshinda, je hamna mayai viza hapo tuje na ungo tumrushie? Badala ya kushughulikia suala la umeme yeye anatumia propaganda ya kugawa ng'ombe, kwa nini asigawe then aje kugawa sasa?
   
 11. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #11
  Feb 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Huyu ni JANGA kwa Taifa letu!
  Hakika mwisho wake waja tu!
   
 12. Thomas Odera

  Thomas Odera Verified User

  #12
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 644
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kwa vile rais wetu anawajali watu wote ni sawa pia akiwagawia wafugaji ng'ombe maana nao ni sehemu kubwa ya waliompa kura wakati wa uchaguzi mkuu
   
 13. ZENITH

  ZENITH JF-Expert Member

  #13
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 732
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 60
  Kila kaya itapata ng'ombe watano,majike manne na dume moja(sourcesTBCone na STAR TV),mimi nawashauri wapokee hao ng'ombe but donchi kubeba.
   
 14. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #14
  Feb 19, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,660
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  Anafunika jua kwa ungo,tunamshukuru kwa kutupatia ngombe,ila kura zetu ajaribu kuzisahau kabsaaa,tunatambua kuna mambo mengi ya msingi zaidi ya hao ngombe ambayo anajaribu kuyaficha mfano pesa za EPA alizokula na wale wezi ni zaidi sana ya hao ngombe Richmond imekula ngombe wangapi kupitia mikono yake?kagoda,meremeta,and all the shit?black is black dude,don't waste your time. Trying to dry the shark in the deep sea,let bygone be bygone and so on.
   
 15. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #15
  Feb 19, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli kazi JK anayopenda na anayoweza kuifanya kwa umakini ni kuomba misaada na kugawa misaada. Huyu jamaa alitakiwa afanye kazi Red Cross kama Field Officer angemudu vizuri sana.
   
 16. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #16
  Feb 19, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mhe Rais katimiza ahadi yake ya kufidia wafugaji waliopoteza mifugo kwa ukame
  Anastahili pongezi kwa hili.
  OTIS
   
 17. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #17
  Feb 19, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Rais anajali wananchi siyo kama kina Mbowe wanaokula posho tu.
   
 18. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #18
  Feb 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,081
  Likes Received: 6,544
  Trophy Points: 280
  Hao wasaidizi wote kwann wasifanye kaz kama hizo.
   
 19. p

  panadol JF-Expert Member

  #19
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyu ndiyo kiongozi ameatoa uhuru wa kuongea kwa kila mtu na yuko karibu na wananchi kwa kila jambo anawapenda sana watanzania wote yuko pamoja nao katika shida na raha,Raisi msikivu ata kambi ya upinzani bungeni wamethibitisha hilo,hongera sana Jakaya M kikwete mungu akubariki sana kwa mazuri yote wachache tu hawajuhi mazuri yako na si kama hawajuhi kweli wanajifanya wanapotosha umma ila watakukumbuka utakapomaliza uongozi wako,CCM daima!
   
 20. p

  panadol JF-Expert Member

  #20
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyu ndiyo kiongozi ametoa uhuru wa kuongea kwa kila mtu na yuko karibu na wananchi kwa kila jambo anawapenda sana watanzania wote yuko pamoja nao katika shida na raha,Raisi msikivu ata kambi ya upinzani bungeni wamethibitisha hilo,hongera sana Jakaya M kikwete mungu akubariki sana kwa mazuri yote wachache tu hawajuhi mazuri yako na si kama hawajuhi kweli wanajifanya wanapotosha umma ila watakukumbuka utakapomaliza uongozi wako,CCM daima!
   
Loading...