CHADEMA wajiondoa kugombea ubunge - EALA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA wajiondoa kugombea ubunge - EALA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwikimbi, Apr 16, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  wakuu, kama kawaida, spika ana makinda amekataa mapendekezo yote yaliyopelekwa na wapinzani pursuant to EAC charter kuwa wabunge huchaguliwa kwa uwianao toka bunge la nchi husika. ameshilikia msimamo kuwa ni lazima wabunge 8 watoke ccm na wapinzani kiti kimoja. chadema ili kulinda charte ta EAC, na demokrasia katika ukanda huu wameamua rasmi kujitoa kwenye kinyanganyiro hicho. sasa wanakimbilia kwenye mahakama ya afrika mashariki kutafuta haki
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Apr 16, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Hicho ndicho tulichotegemea, big up makamanda, M4C start from you the peoples power!
   
 3. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,962
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  Mi nadhani cdm wangeacha kabisa. Madhara ya Muungano yataonekana na yatakiua zaidi ccm
   
 4. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  This is new era politics, ukileta mambo ya kizamani na ukongwe tunafahamu wapi pa kubanana.

  Heko wote walio mstari wa mbele!!
   
 5. maphie

  maphie Senior Member

  #5
  Apr 16, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 174
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ccm n mbwaa anyekufa hivyo wantaka kushikilia kial kitu wakifikiriwataokoka
   
 6. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Wamejiondoa au wamesoma alama kwamba watapigwa chini vibaya!
   
 7. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Nimeipenda hii ya blue...........
   
 8. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Mambo ya Tanganyika yanakuhusu nini? Hakuna habari barazani??
   
 9. by default

  by default JF-Expert Member

  #9
  Apr 16, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mpumbavu ata ukimweka kwenye chupa atataka kupga sarakasi.
   
 10. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #10
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Mkuu punguza ubaguzi
   
 11. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #11
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Wanaenda kutafuta haki katika Mahakama ya Afrika Mashariki! Tena huko kama Jaji ni Mtanzania wamkatae, maana atakuwa na harufu ya gamba!
   
 12. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #12
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  50 years of our independence... still no justice.
   
 13. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #13
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,679
  Likes Received: 21,942
  Trophy Points: 280
  Kama mwongozo wa EAC unasema hivyo ni dhahiri Mahakma ya Jumuia itatengua maamuzi ya Bunge letu. Hivi kwa nini tunapenda kupata aibu hivi kila wakati? CCM hakuna aliyebaki mwenye ufahamu timamu akasimama na kuelekeza wenzake?
  Kweli kumbe kifo kikifika hakuna wa kukizuia. CCM iliyokuwa moja ya vyama mahiri Africa iko ICU inapumulia gas na na mtungi wa gas umebaki robo na hakuna ziada.
   
 14. k

  kitero JF-Expert Member

  #14
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Big up CDM bora mmejiondoa kuliko kushiriki na hao magamba,washirikiane na magamba B/CUF NA TLP.Hawa magamba ni wanafiki wakubwa wanafanya vile ili ionekane wameshirikisha upinzani upuuzi mkubwa kiti kimoja tuu?
   
 15. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #15
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kuna watu wabaguzi kama wazanzibar....
   
 16. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #16
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  sheshejr liked this.
   
 17. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #17
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ni uamuzi wa busara kwa sababu magamba ni sawa na alien monster.
   
 18. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #18
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Kuna watu wabaguzi kama nyie? Tunawapa hadi mwanga lakini hamridhiki?

  Mambo ya Tanganyika hayakuhusu, Period!!
   
 19. RUMANYIKA

  RUMANYIKA JF-Expert Member

  #19
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 315
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wapi tuntemeke na uzushi wake wa ukaskazin na udini.
   
 20. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #20
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Hawakimbilii mahakamani wameamua kutumia haki Yao ya kikatiba kuenda kupata haki inapotolewa, supika Hana mamlaka ya kutoa haki. Kaamua bila kuzingatia sheria dawa ni kwenda mahakamani.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...