Waraka wa siri wanaswa na Dr. Slaa kutoka CCM, juu ya katiba mpya kuelekea kwa wakuu wa Mikoa,Wilaya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waraka wa siri wanaswa na Dr. Slaa kutoka CCM, juu ya katiba mpya kuelekea kwa wakuu wa Mikoa,Wilaya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JOB SEEKER, Apr 15, 2012.

 1. JOB SEEKER

  JOB SEEKER Senior Member

  #1
  Apr 15, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dr.Slaa Akiwa kwenye ziara ya Kujenga Chama shy amesema Kamati kuu ya ccm,imetuma waraka maalum kwa wakuu wa wilaya na mikoa yote nchini kuhusu katiba mpya wakielekeza juu ya yale mahitaji,na mambo mbalimbali ambayo wanahitaji kwenye katiba yao,waraka huo unaonyesha mahitaji mbalimabali ya ccm na lazima yasimamiwe kama ilivyoonyeshwa !!!!!!!!

  Dr.SLaa Amesema kuwa waraka huo unamaslahi binafsi na unaweza kuhatarisha hali ya amani na utulivu hapa nchini.

  Wana Jf Je ! Tunatengeneza katiba yenye maslahi ya ccm ama ya watanzania wote !!!!!!!!!!!!

  Sorce:ITV HABARI SAA MBILI USIKU
   
 2. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Yani sasa hivi kila kinachofanywa na CCM iwe mchana au usiku lazima taarifa lazima ifike hapa Kinondoni Mtaa wa Ufipa! Na wanaoleta habari ni wao wenyewe!
   
 3. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Duh!!!kama ni kweli,kazi ipo!!
   
 4. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2012
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Kule ndo kuliko ungua shoka mpini ukabaki...:A S-fire1:
   
 5. B

  Benno JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2012
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Copy ya wakala huo please!! Otherwise ni vigumu kugambisha
   
 6. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mtetezi wa wananchi yuko kazini, Simsifii huyu mzee lakini kila mtu anaona anachokifanya, Mafisadi wanamwogopa sana ndiyo maana hawataki 2015 agombee. CCM wanamwogopa sana,

  Kawashika pabaya, CDM itisheni peoples power najua JK na CCM yake hawaendi bila peoples power.

  Tatizo ni kwamba CDM wakijitoa patachimbika kwa hiyo lazima warekebishe hizo kasoro.
   
 7. MNAMBOWA

  MNAMBOWA JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,983
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  mzee kweli ni mnafiki , chekeleeni2 kauli zake na uzushi wake ipo cku nchi hii itakuwa damu.
   
 8. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #8
  Apr 15, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  slaa ni nouma
   
 9. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #9
  Apr 15, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  umeshaambiwa source itv kaka.
   
 10. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #10
  Apr 15, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  kuna wana ccm wengi tu damu zao chadema na hao ndio wataimaliza ccm''
   
 11. B

  Benno JF-Expert Member

  #11
  Apr 15, 2012
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hata kama source ni ITV kwani Dr. Hana copy, si unascann tuu na kuweka basi. Source is not an issue, tunataka kuusoma huo waraka.
   
 12. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #12
  Apr 15, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,685
  Likes Received: 17,746
  Trophy Points: 280
  TUMBILI bana unanipaga raha sana, kwa hiyo unamaanisha wanajisalimisha wenyewe kwny ofisi ya CDM, kabla msako haujafanyika
   
 13. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #13
  Apr 15, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,685
  Likes Received: 17,746
  Trophy Points: 280
  bora iwe damu tujue moja, kuliko kundi dogo kufaidi rasilimali zetu
   
 14. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #14
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nina ushahidi wa kutosha kuhusu wabunge wa 1977(CCM) wanataka kuhamia CDM na madiwani kibao kila siku wananipigia huku majuu nitawatajieni wote.
  CCM pwaa 2015!!CDM with M4C in total power!
   
 15. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #15
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wanasema wanataka mabadiliko ya kweli....haya kataa, Anna K.Malecela, Samwel Sitta naendelea kuwataja,...madiwani ndo usiseme.
   
 16. M

  Molemo JF-Expert Member

  #16
  Apr 15, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Na ndiyo maana kina Tundu Lissu walikuwa wanapinga wakuu wa wilaya kuwa sehemu ya mchakato.Ni kutokana na hujuma kama hizi.
   
 17. munisijo

  munisijo JF-Expert Member

  #17
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 868
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 60
  Kwa hyo yale yote alyokua anattambia 'Baba Rzwan' n danganya toto?Mara hii keshaenda ktugeuka na kuonesha true kala yake...?Chama chao chenyewe hakna registration...
   
 18. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #18
  Apr 15, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  nenda kwenye ofisi za chadema mkuu.
   
 19. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #19
  Apr 15, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Najua CCM lazima wachakachue tu, hawana nia ya dhati ya kuandika katiba mpya
   
 20. babalao 2

  babalao 2 JF-Expert Member

  #20
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,217
  Likes Received: 1,270
  Trophy Points: 280
  hakuna siriiiii chini ya jua. wamechelewa ila wasonge mbele watakutana na katiba mpya ikija waipokee.
   
Loading...