Spika wa Bunge lijalo 2015 baada ya Makinda ni huyu hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Spika wa Bunge lijalo 2015 baada ya Makinda ni huyu hapa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Joblube, Apr 16, 2012.

 1. J

  Joblube JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwa hali halisi ilivyo CHADEMA itashika madara 2015 mafisadi wapende wasipende na kwa uhakika zaidi Spika ajae ni Mabere Nyaucho Marando period.
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Apr 16, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,476
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Huu ni utabiri au nini.....!!!
   
 3. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #3
  Apr 16, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  nikiona thread km hizi nakumbuka maeneo ya mwembechai pale enzi zile za uhai wa mzee wetu.
   
 4. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Naunga mkono hoja
   
 5. k

  kitero JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  anatufaa, ila kuna watu watakaokufa na pressure
   
 6. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwa lipi hasa awe Marando?
   
 7. j

  juu kwa juu JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  atauza nchi: mtetezi wa watuhumiwa wa epa.
   
 8. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Nakuunga mkono huu jamaa pamoja na kuanda majukwaani na kuwasema wanaoitafuna nchi yetu yeye anasimama mahakamani kuwatetea wezi wa pesa zetu. Kimahesabu inakuwa 1 - 1 = 0
   
 9. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #9
  Apr 16, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Chadema mchukue nchi!!!!!, nchi gani hiyo? labda kama Nchi mpya ya kanda ya kaskazini.
   
 10. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #10
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280

  Breini Konkasheni!
   
 11. m

  massai JF-Expert Member

  #11
  Apr 16, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  kazi ya uwakili ni kama doctor,hata aje jambazi liloua watu alfu mbili anatakiwa afanye kazi moja,kumtibu tu.pata muongozo kwa watu wa sheria utaelewa zaidi
   
 12. C

  Christiano Ronaldo JF-Expert Member

  #12
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  True! Haiwezekani!
   
 13. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #13
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Nchi iuzwe mara ngapi??
   
 14. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #14
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Unauliza jibu .. Nchi tutakayo ichukua ni Tanzania ..
   
 15. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #15
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wewe ukilala ukanda,ukiota ukanda,ukiamka ukanda.Kwa hiyo kisomo chako ndo kimeishia hapo ktk kufikiri.Kumbuka usemi we lala wenzio wala.REF:JAMES MILYA'S DECISSION
   
 16. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #16
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Hivi Mabere Nyaucho Marando yuko wapi siku hizi? Mbona amepoa sana haonekani kwenye jukwaa la siasa? Naona kama Baregu ana nafasi na anajiandaa na kuandaliwa.
   
 17. N

  Noboka JF-Expert Member

  #17
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 1,145
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Unapoota si lazima ulete ndoto yako hapa, wenzako wanafikiri namna ya kuikomboa nchi toka kwenye makucha ya CCM na ufisadi wewe unaota nafasi za uongozi tu. Usingizi mwema.
   
 18. H

  Hemed Maronda Senior Member

  #18
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Haujajua kama Chadema wanainchi yao yenye mikoa ya Arusha,Manyara na Kilimanjaro Raisi wao ni Slaa makamu wa Raisi Freeman Mbowe waziri mkuu ni John Mnyika,waziri wa fedha ni Philemoni Ndesamburo,waziri wa kazi na vijana ni Godblesss Lema,waziri wa Habari na Utangazaji ni James Ole Mallya.
   
Loading...