Nadhani wengi tunajua alichokisema mh. z. kabwe jana bungeni alipokuwa anahitimisha hoja ya kamati ya mashirika ya umma. zito alisema anakusudia kukusanya sahihi za wabunge 70 ili aweza wasilisha...
NAPE SOMA MADUDU YA CHAMA CHAKO UKAWAELEZE WENZIO>
CCM na anguko lao wamejitakia wenyewe,( mlimbua inchi ni mwanainchi wenyewe) kusimamia uweledi ni jukumu lao viongozi. Kuna kamati kuu...
Wanachama wa ccm wakiwemo wenyeviti wa vitongoji vitano wilayani ngorongoro, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na chadema,na tayari wamebwaga kadi zao za ccm katika ofisi za chadema...
"Bwana Mdogo, Hapa Hakuna Peoples Power, Kuna Goverment Power"
"Na mimi ndiye kinara wa mambo ya Serikali hapa Bungeni!"
Picha inatoa taswira yenye kutoa tafsiri nyingi tu, cha msingi kuna...
Imekuwa ni mazoea kwa serikali yetu kutatua ama kuzungumzia matatizoyanayolikumba Taifa kwa kuzungumza na wazee wa Dar na kutoa makaripio, vitishona hata kejeli ili wananchi wapate ujumbe kwa...
Nimependa nape atuweke sawa siyo aje ile ile tafsiri ya magamba kila upepo wa kisulisuli unapikivamia Chama Twawala.
Ingekuwa vema na hapa akasema kama na hawa ni wale Magambaaaa navyotafsiri...
Imetokea jana kwenye Dala dala la Kutoka Airport kwenda Buhongwa (MWANZA), Kama kawaida ya konda ndani ya dala dala anadai chake (Nauli), kabla hajamaliza kudai nauli gali likakata mafuata kiaina...
Salute kwa Wabunge wote !
Naomba niwakumbushe wabunge la JMT kuwa sasa ni wakati wa kung'ata na siyo kubweka kama mbwa koko,kwani baadhi ya mawaziri ni viziwi kwa kelele mnazopiga hapo...
• Hatma ya mawaziri watano mikononi mwa JK
na Mwandishi wetu
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, sasa yuko katika hatari ya kuondolewa madarakani kwa kupigiwa kura ya kutokuwa na imani...
Jana nilimsikiliza Mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa makini. Nimeona umuhimu wa kuwa na wabunge kutokea CHADEMA. Pia nimeamini kuwa Kuwepo kwa mbunge mmoja wa CDM ni sawa na kuwa na wabunge 20 wa...
Kama mafisadi watafuna fedha za serikali na kugawana raslimali za taifa kutoka Chama cha CCM wamebatizwa jina magamba. Na wakina nape ndo wanokimbiza mwenge huu wa kuvuana magamba na ili hali na...
Wakati akihitimisha mjadala wa taarifa ya kamati mbalimbali hasa za Serikali za mitaa, mashirika ya umma na ile ya wakubwa, Mwenyekiti wa kamati ya serikali za mitaa Mh. Zitto Zuberi Kabwe ametoa...
Nakumbuka zile kampen za mwaka 2005,,nikiwa Mwanza.'Rais alipita mkoa wa mwanz kuelekea kijiji cha kabita wilayan magu kwenda kwenye mazishi ya aliyekuwa mwenyekit wa ccm mkoa wa mwanza,.'ndugu...
Breaking News,
Jinamizi la Viongozi wa Chama cha Mapinduzi kuhamia CHADEMA sasa limehamia Mwanza.
Diwani wa Kata ya Nyampulukano, Jimbo la Sengerema Mjini amehamia Chadema leo hii, Arusha...
Samahani kwa atakaye uliza source:
Ni hivi toka jana nawambia mambo ya ndani ya vikao vya muhimu kuwa waziri mkuu na baraza lake wamegoma kuondoka kwa sababu ni aibu sana mawaziri hao wanataka...
Kwa hizi kashfa, huyu waziri uko marekani sina imani kama ataludi. tusije tukaambiwa naye amekufa kama balali then no ma​iti wala mwili wa marehem...ngoja tuone
Waziri Kivuli wa Afya na Ustawi wa Jamii Gervas Mbassa akomalia mgomo wa madaktari bungeni kwa kutaka Bunge lieleze ni kwanini taarifa ya serikali haipo kwenye ratiba ya bunge. Mbassa aliomba...