Hajiuzuru mtu na ole wao CCM atakaye toa saini watamvua gamba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hajiuzuru mtu na ole wao CCM atakaye toa saini watamvua gamba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dosama, Apr 20, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Samahani kwa atakaye uliza source:

  Ni hivi toka jana nawambia mambo ya ndani ya vikao vya muhimu kuwa waziri mkuu na baraza lake wamegoma kuondoka kwa sababu ni aibu sana mawaziri hao wanataka waondolewe kwa njia ya mabadiriko ya baraza la mawaziri lakini si kwa shinikizo kama la Zitto.

  Sababu za wazi kabisa:

  Wangekuwa na nia wangekuwa wamesharangaza kujiuzuru lakini wote wameomba mda warekebishe kasoro hizo lakini si kuwajibika kwa madudu yao.

  Mpaka sasa hakuna kauli ya Rais wala waziri mkuu wake.

  Wakuu ndo ukweli hakuna anayetaka kutokupishwa barabarani kwa ving'ora
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Zitto na CHADEMA watakachofanya ni kwenda kuwashtaki kwa wananchi. Hilo halina shaka, wakikataa ndiyo wanarahisisha mabadiliko kwa njia ya M4C
   
 3. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Umemaliza kila kitu mkuu
   
 4. a

  adobe JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 1,667
  Likes Received: 293
  Trophy Points: 180
  serikali ya kishkaji yote mijizi.hebu fikiria mkulo alikotoka nssf kwa kashfa ya wizi leo waziri wa fedha,mataka wa ppf kapewa ATC, kama sio ndge wa aina moja huruka kwa pamoja.yaani alowateua na wateule wake yote mijizi mana huwezi mteua mwizi wakati unajua fika ni mwizi kama na wewe si mwizi ie unataka akaibe akuletee.
   
 5. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  na hili litawaporomosha sana ccm kwa sababu huu wizi bado hauja sikika kwa watanzania wote kama cdm itaamua kuandamana nchi nzima kwa ajili ya kupeleka ujumbe basi ujumbe utawafikia wale waliousikia bungeni na wengi ambao hawakuufikia bungeni.
  ningekuwa mimi ccm ningeshauri wajiuzuru ili ionekane kuwa ni msimamo wa ccm.
   
 6. Sema Chilo

  Sema Chilo JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 324
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jibu tutapata leo wakuu
   
 7. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Hivi Rais ameisharudi?

  Waziri Mkuu yupo kikaangoni atoe tamko gani?
   
 8. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  zitto kawatega sana!
  Wakijiuzulu ni sifa kwa cdm.
  Wasipojiuzulu wanasemewa kwa wananchi.
   
 9. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mkuu wa kaya mwenyewe ndio anawalinda hawa majambazi wa rasilimali zetu. Like father like son.
   
 10. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Zitto kawashika kwenye nyeti zao hawa viwavi, hawana pa kupumulia.
   
 11. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  viongozi wetu hawaelewi maana ya kuwajibika
   
 12. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #12
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  tusubiri tuone.
   
 13. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #13
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kwa hatua hii aliyoichukua Zitto hakika amerudisha hata credibility kwake kutoka kwa wananchi. Magamba wamewekwa kwenye mtego mkali sana.
   
 14. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Wataijua tu hata kwa upanga maadam watanzania wameamka. Nguvu ya umma si mchezo.
   
 15. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #15
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  dosama utulivu unahitajika mkuu.......
  Hii thread sijui ya ngapi unaanzisha.
  Hatushindani, unaweza kupost tu kama maoni kwenye thread makini kuliko kutujazia mathread yasiyo na kichwa wala miguu
   
 16. w

  wakijiwe Member

  #16
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mh. zitto katumia haki yake ya msingi kama mbunge na anaonesha ni aina gani ya wabunge tunaowahitaji wawepo bungeni. hii ndio demokrasia ya kweli kwa kuibua uozo ndani ya serikali na huo ndo uwajibikaji wa mwakilishi wa wananchi.
   
 17. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #17
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mbona hii ipo poa? Au wewe una brain concussion!
   
 18. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #18
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  sie watanzania ni wazuri kwa kusema au kulalamika na si kutenda
   
 19. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #19
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mkuu, watanzania wamebadilika, wewe subiri uone kifo cha magamba 2015.
   
 20. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #20
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Nimeipenda sana hii!
   
Loading...