NAPE: Mawaziri wanaotakiwa kutoka ni Magamba??

MAGEUZI KWELI

JF-Expert Member
Jul 16, 2011
1,947
253
Nimependa nape atuweke sawa siyo aje ile ile tafsiri ya magamba kila upepo wa kisulisuli unapikivamia Chama Twawala.
Ingekuwa vema na hapa akasema kama na hawa ni wale Magambaaaa navyotafsiri yeyeee au kuna Mengine???

CCM sasa aibu tupu
 
Basi kama ni kujivua gamba CCM wote inabidi wajivue nandoutakuwa mwisho wao lakini pia kuendelea kuwakumbatia mafisadi ni vizuri ili maneno yalyotabiriwa yaweze timia nikiwa na maana any choice ccm is makin will put Tz in a safe syd n lead to ccm death.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom