Hari mbaya,,,.'nguvu hakuna..,'kasi ya kupanda gharama za maisha

Inno laka

JF-Expert Member
Mar 24, 2012
1,616
583
Nakumbuka zile kampen za mwaka 2005,,nikiwa Mwanza.'Rais alipita mkoa wa mwanz kuelekea kijiji cha kabita wilayan magu kwenda kwenye mazishi ya aliyekuwa mwenyekit wa ccm mkoa wa mwanza,.'ndugu Mgema..'kilikuwa ni kipindi cha kampen nilikaa barabaran nikisubir nipunge mkono.'niliipenda sana kauli yake ya HARI MPYA,,NGUVU MPYA NA KASI MPYA.'niliamini sasa huyu ndio anafaa kuwa Rais nilimpa kula yangu kwa moyo safi kabisa..'lakin leo hii hali imekuwa tofauti kabisa gharama ya maisha imekuwa juu kabisa kama mimi ninakaa huku porin kwa mshahara wangu huu,,,je mtu anayekaa Arusha mjin.?.nyumba anatoa kodi ambapo mimi pesa yake hyo nalipa miez nane,,'mh amekuwa mgumu kutoa maamuz , leo hii tunanunua kiberiti sh mia moja.
 
Back
Top Bottom