Namkubali naibu spika mh Ndugai

Ni vigumu kupata kama mzee Sita lkn Job Ndugai anafaa aise sio siri. Anamwacha kwa mbali sana Bi Kiroboto
 
Ndugai ni bora mara mia kuliko bi Kiroboto!! Anazijua kanuni za bunge na ni fairly fair!
kwa wapinzani compared na huyo bibi mchawi.
 
Tatizo letu wabongo tunakuwa impressed kirahisi sana. Nilimsikiliza huyu Ndugai katika mjadala fulani jamaa either hajui some basics of separation of powers au ana kiss azz ya executive it's a shame.

Ndiye huyu anasifiwa leo au mwingine?

Watu walivyomshambulia Lusinde mie nikasema anayevuma Lusinde, kumbe kina Ndugai kibao wapo.

Niambieni ana kipi cha kumu impress mtu anayeangalia mambo kwa jicho critical?
 
Ni Kilaza sawa lakini anayo maamuzi, katika kila nafasi unayopata kama huna maamuzi hufai, kama unaweza kufanya maamuzi ndiyo maana halisi ya kuwa Kiongozi unayefaa. Lakini usisahau Ndugai ni Magamba , anawakilisha maslahi ya magamba katika bunge na sio maslahi ya nchi .
 
Leo alitakiwa mhe Samweli Sittta awe amekalia hicho kiti. Mama yetu mambo mazito na anaogopa waliomuweka hapo.
 
Ni vigumu kupata kama mzee Sita lkn Job Ndugai anafaa aise sio siri. Anamwacha kwa mbali sana Bi Kiroboto

Haswaaa, yy ndie angefaa kuwa speaker, huwezi in no way mlimganisha na kale kamama kajaolewa....
 
alitakiwa ndie awe spika bi kiroboto ni kibaraka ashangaa wakuu wa idara wanavyopatikana wanajua wakubwa
nakubaliana na ndugai,wakuu wa idara wengi wao wanapatikana kwa rushwa na kujuana ndio maana halmashauri nyingi utendaji kazi una walakini.
 
Tatizo letu wabongo tunakuwa impressed kirahisi sana. Nilimsikiliza huyu Ndugai katika mjadala fulani jamaa either hajui some basics of separation of powers au ana kiss azz ya executive it's a shame.

Ndiye huyu anasifiwa leo au mwingine?

Watu walivyomshambulia Lusinde mie nikasema anayevuma Lusinde, kumbe kina Ndugai kibao wapo.

Niambieni ana kipi cha kumu impress mtu anayeangalia mambo kwa jicho critical?

Kiranga,

..umesema kweli.

..Ndugai huyu huyu uliyekuwa ukimpigia kelele kwa kulumbana na wabunge wa upinzani ktk kipindi cha TV, leo amekuwa maudilifu na mjuvi wa kupigiwa mfano miongoni mwa Maspika, na Manaibu wao!!

..Makinda,Ndugai,na Kashilila[katiba wa bunge] wanaendesha bunge kimizengwe sijapata kuona.
 
Jamani wanajf wenzangu poleni na mikikimiki ya leo toka bungeni.Nionavyo mimi sina imani kabisa na simuamini kabisa mama yetu spika wa bunge,na ninamuamini sana na ninampenda sana naibu spika anavyoliongoza bunge.Na matunda yake yameonekana kwa hizi siku mbili ambazo huyu mama yetu hakuwepo bungeni.HOngera sana JOB NDUGAI fuata nyayo za Sitta.
 
Tatizo letu wabongo tunakuwa impressed kirahisi sana. Nilimsikiliza huyu Ndugai katika mjadala fulani jamaa either hajui some basics of separation of powers au ana kiss azz ya executive it's a shame.

Ndiye huyu anasifiwa leo au mwingine?

Watu walivyomshambulia Lusinde mie nikasema anayevuma Lusinde, kumbe kina Ndugai kibao wapo.

Niambieni ana kipi cha kumu impress mtu anayeangalia mambo kwa jicho critical?
Mkuu Kiranga, japo Ndugai is not the best we have, ila he is 100X better than Makinda.

Ukiangalia makombora kama ya Deo Filikunjombe aliyoivurumushia serikali, angekuwa Makinda asingekubali, angemwambia thibitisha kisha kaa chini!.

Mimi ni miongoni mwa niliomuona Ndugai ni dikteta hatari kuliko Makinda, sasa nimeanza kumkubali he is better off than Makinda hundred times!.
 
kwa kweli bora Job Ndugai,kuliko a.k.a Bi Kiroboto, Ndugai ana busara sana,anajua kumsikiliza mtu,na kumwelewa,tena anajua kubarance hoja.
 
Back
Top Bottom