Wanachama 1,938 wa CCM, Wenyeviti Watano wahamia CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanachama 1,938 wa CCM, Wenyeviti Watano wahamia CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Arusha Leo, Apr 19, 2012.

 1. A

  Arusha Leo Senior Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanachama wa ccm wakiwemo wenyeviti wa vitongoji vitano wilayani ngorongoro, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na chadema,na tayari wamebwaga kadi zao za ccm katika ofisi za chadema zilizopo wilayani humo na kukabidhiwa za chadema.

  Tarifa hiyo imetolewa na katibu wa CHADEMA mkoa wa Arusha Amani Golugwa.

   
 2. A

  Arusha Leo Senior Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanachama wa ccm wakiwemo wenyeviti 2402 wa vitongoji vitano wilayani ngorongoro, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na chadema,na tayari wamebwaga kadi zao za ccm katika ofisi za chadema zilizopo wilayani humo na kukabidhiwa za chadema.

  Tarifa hiyo imetolewa na katibu wa chadema mkoa wa Arusha Amani Golugwa.
   
 3. d

  dguyana JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Basi tayari!!!!!!
   
 4. maphie

  maphie Senior Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 174
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  magamba kwa heri
   
 5. F

  Froida JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ha jamani mbona huko kuna sunami ya kuikataa CCM,wananchi kataeeni CCM na mizizi yake yote dhuluma hao,mafisaadi,majambazi wa haki za binadamu,wezi hao wamenyonya nchi yetu
  mabwanyenye hao wao na watoto wao ndio wamekamata serikali na biashara zao zote
  Heko wana ngorongoro
   
 6. M

  Molemo JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Sifa zote ni kwa Mungu Bwana wetu.
   
 7. M

  MISILEE MGOGO Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  amani taarifa hizi ni za kweli?
   
 8. d

  dguyana JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwishney bhalegha!!!
   
 9. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Sina haja ya kukaa ofisini tena nafungasha nikajipongeze na familia yangu sasa!. Nataka watuambie MNADA WA JENGO LA CCM Mkoa wa Arusha ni lini kwani kwa sasa halina kazi tena!!!!!! tunataka kununua kwa ajili ya kufanya ofisi zetu za CDM.
   
 10. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  nape sasa na hao ni magamba
   
 11. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  CCM kwaheri.... Badilisha hapo penye Red
   
 12. m

  maramojatu Senior Member

  #12
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tunangoja kura za vijijini. Sijui sasa itakuaje kama wanakijiji wanahamia cdm
   
 13. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hao wachache subirini!
   
 14. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #14
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Maneno hayo! Hamieni hamieni! Msiache mbuzi wala kondoo. Mwambie na mama na baba nanii pia! Karibuni huku mpate spidi ya kutosha.
   
 15. Simchezo

  Simchezo JF-Expert Member

  #15
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 225
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Peoples.................................................................................................................................................
   
 16. Ikwanja

  Ikwanja JF-Expert Member

  #16
  Apr 19, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,988
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  sijui kesho itakuwa wapi

  M4C in action
   
 17. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #17
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Hivi hizi ni taarifa za kweli au ni za kisiasa?
   
 18. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #18
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ha ha haaaaaaaaaaa! Ni raha tupu!
   
 19. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #19
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,503
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280
  Arusha kuwa Bengazi ya Tanzania???
   
 20. Miya

  Miya JF-Expert Member

  #20
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 817
  Likes Received: 1,208
  Trophy Points: 180
  Uwiii mafuriko sasa..wote hao
   
Loading...