Ni nani atakuwa Waziri Mkuu Mpya!

Ni nani atakuwa Waziri Mkuu Mpya!

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
13,343
Reaction score
20,797
Kuna kila dalili ya serikali ya JK kuangushwa bungeni!

Je ni nani tutarajie anakubalika na wabunge kuwa Waziri Mkuu mpya?
 
sisi tunataka rais mpya

Ni kweli tunataka Rais mpya lakini kwa mujibu wa Katiba tuliyonayo kinachowezekana ni kumwondoa Waziri Mkuu kwa kumpigia kura za kutokuwa na imani naye!
 
Nadhani ikipigwa kura ya kutokuwa na imani na Rais, anayewateua hao mawaziri, itabidi rais avunje bunge na kuitisha uchaguzi upya.
 
Mwanri anafaa manake anavyoongea nahisi ukikaa karibu nae utalowa
 
Tupunguze hisia wakuu, mbona tunakuwa kama hatuijui nchi yetu!?
Kinachoendelea dodoma ni igizo la wabunge wa ccm kutaka kuwahadaa wananchi wajinga ili waone bado ccm ni chama chao na kwamba wabunge wa ccm pia wanajua kubwata!
Hamna wa kuangusha serikali pale, tunachokitaka toka kwa wabunge wa ccm ni kikubwa kuliko uwezo wao wa kutenda kwa mazoea!
Sisi tulioelevuka japo kidogo tukianza kulewa hisia utafikiri kinachotokea bungeni ni kipya sana ndo tutawayumbisha masikini wengine kuona uh kumbe hata wabunge wa ccm wanafanya kazi wakati hamna chochote walichofanya mpaka sasa.
Tuwaangalie mwisho wao kwanza
 
...Nakubaliana nawe kabisa Mkuu...Kinacofanywa sasa hivi kule Dodoma na Wabunge wa Magamba ni usanii mtupu ili kuwahadaa Watanzania baada ya kuona kifo cha chama chao kinakuja kwa kasi ya kutisha kuliko walivyotarajia....Salama lakini Mkuu JG? Nisalimie wote uwapendao. Mie niko kabisa namshukuru Mungu.
 
Tupunguze hisia wakuu, mbona tunakuwa kama hatuijui nchi yetu!?
Kinachoendelea dodoma ni igizo la wabunge wa ccm kutaka kuwahadaa wananchi wajinga ili waone bado ccm ni chama chao na kwamba wabunge wa ccm pia wanajua kubwata!
Hamna wa kuangusha serikali pale, tunachokitaka toka kwa wabunge wa ccm ni kikubwa kuliko uwezo wao wa kutenda kwa mazoea!
Sisi tulioelevuka japo kidogo tukianza kulewa hisia utafikiri kinachotokea bungeni ni kipya sana ndo tutawayumbisha masikini wengine kuona uh kumbe hata wabunge wa ccm wanafanya kazi wakati hamna chochote walichofanya mpaka sasa.
Tuwaangalie mwisho wao kwanza

Kumbuka yaliyompata Lowasa!

Sidhani kama Pinda hata leo hii ni maarufu kama Lowasa na isitoshe Lowasa alikuwa na mtandao mkubwa!
 
Sasa tunakuwa Low thinkers kama tunafikiri kweli wabunge wa CCM watafanya mabadiliko.

Chama kinashika hatamu
 
Masikini CCM! Huwa nawahurumia sana wanasiasa vijana waliopo ktk chama hii! Sijui baada ya anguko watafanya kazi gani huku mtaani!!! Wameisha zoea dezo na kuhongwa! Wengi wao watapata msongo wa mawazo na kufa!
 
mmmhhhh kuangushwa sidhani maana jana kila mtu anacharukia watu wanaowajua halafu sijaona wakitoa majibu ya matatizo hayo..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom