Pinda alipokutana na Mbunge mpya wa Chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pinda alipokutana na Mbunge mpya wa Chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Candid Scope, Apr 20, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  "Bwana Mdogo, Hapa Hakuna Peoples Power, Kuna Goverment Power"

  [​IMG]

  "Na mimi ndiye kinara wa mambo ya Serikali hapa Bungeni!"

  Picha inatoa taswira yenye kutoa tafsiri nyingi tu, cha msingi kuna tofauti kubwa ya itikadi kati ya wawili hawa ukisoma nyuso na macho yao.

  Kwa hisani ya Mjengwa blog
   
 2. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Nje ya ukumbi wa bunge Pinda alipokutana ana kwa ana na Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe Haule ambaye ametamka wazi kuwatuhumu mawaziri kuwa ni wizi wa mali ya umma.

  Huu moto wa wabunge vijana nani atauzima kama si wazee kuachia ngazi na kuwapisha vijana waijenge nchi? Huwezi kuamini kijana mdogo kutoka Arumeru Mashariki kuingia Bungeni na kuanza kudodosa machafu yanayofanywa na serikali yetu bila aibu.

  [​IMG]
   
 3. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  PINDA:
  Bwana mdogo karibu sana kwenye sistimu.... na mimi ndo kiongozi wa mambo ya humu kisiri-kali. Nitawatuma vijana wakulete nyumbani pale nikuintrodyuzi kwa Tunda. Ee, kusema kweli CDM tunawaheshimu sana lakini mara nyingi huwa nawaambia wenzako faraghani kuwa jamani ifike mahali tutambue kwamba siri-kali yetu hii ni nzuri. Jukumu letu la pamoja linapashwa kuwa ni kuisaidia ipate utulivu wa kutekekeza ahadi zake nyingi na nzuri. Sasa ili ifanikiwe kufanya hivyo mi nasema ni wajibu wetu kuipa kivuli, yaani kuifunika na siyo kuifedhehesha kwa kuifunua funua hivi; unanielewa bwana mdogo?......


  NASARI:
  Siwezi!
   
 4. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Yaani mwenzetu umetugeuka wakati tuko column moja? Sikutegemea unichomee utambi hadharani, ulipashwa kuja ofisini tukakaa na kuongea pamoja tukaona mchakacho huu tuumalizeje.
   
 5. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Tanzania sio ya CCM

  Akichangia mjadala huo, asubuhi na pia jioni,
  Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe (CCM) aliwafyatua mawaziri kadhaa akisema kuwa wanaongoza kwa kutafuna pesa za Watanzania na kumtaja Waziri wa Fedha Mustafa Mkullo kuwa kinara wa wizi huo.

  "Mheshimiwa Naibu Spika, inashangaza na kusikitisha kuwa nchi inatafunwa. Wanaofanya haya ni mawaziri wetu. Nchi inakufa na tuelewe kuwa Tanzania sio mali ya CCM, ni ya Watanzania wote.
  "Mawaziri wetu wamekuwa mchwa, wanaangamiza nchi na leo nitamtaja waziri anayeongoza kwa kutafuta fedha za Watanzania. Ni Waziri wetu wa Fedha, Mustafa Mkulo. Ameuza viwanja, amelidanganya Bunge baada ya kuivunja CHC," alisema mbunge huyo.Awali Filikunjombe alisema Waziri wa Viwanda na Biashara, Cyril Chami, alikuwa amelidanganya Bunge kwa kudai amefuata maagizo yote ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC).Alisema kuwa ana ushahidi wa kutosha jinsi mawaziri hao wanavyoitafuna nchi na kuhoji Bunge linachukua hatua gani inapobainika mawaziri wamelidanganya Bunge.
   
 6. Life.co.tz

  Life.co.tz JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 618
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 80
  Sasa sijui Kijana kama na kwenye hizo Kula 70 za kutokuwa na imani hutoshusha m-signature?
   
 7. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Hapa signature kutoka CCM ni hakika
   
 8. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hapo Dogo anamsubiri akiongea pumba tu anamkata kichwa kimoja mpaka ubongo wa pinda utikisike kwa nguvu. Nasari amekaa mkao wa ndoo tu hapa
   
 9. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,277
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  pinda: dogo karibu bungeni,usije na mambo ya pipoz hapa,achana na hao wakina lisu,wameshatajirika hao.tulia usome upepo kwanza. Nasiri: huyu mzee anazeeka vibaya huyu.anazani mimi ni kama magamba wenzake.
   
 10. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Bwanamdogo anamsoma Pinda na Pinda yupo yupo tu huku akiongea asichokijua na kutafuta nini cha kuongea, kwani anakwepa kuangaliana macho yasikutane na dogo. Kazi kweli kweli.
   
 11. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Mkuu Mlitika - Umepinda kama Pinda mwenyewe!!! Ha ha haaaaaa! Kwa mtu yeyote ambaye amekuwa akimfuatilia Pinda hivi karibuni hana sababu ya kudhani kuwa hayo siyo maneno ya Pinda
   
 12. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #12
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
   
 13. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #13
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
   
 14. The Stig

  The Stig JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Nimecheka sana. Unampatia kama kijana fulani wa kipindi cha Jahazi, Clouds
   
 15. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #15
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  Pamoja sana mkuu!
   
 16. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #16
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,410
  Likes Received: 1,968
  Trophy Points: 280
   
 17. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #17
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  Ha ha haaaa! Ma'ke jama wamefika mahali wameanza kujifinya wenyewe afu wanalia wenyewe!
   
 18. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #18
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Kwa vyo vyote picha hii inatoa taswira ambayo inaibua mengi. Tofauti ya umri wa Pinda na kijana huyu mbunge mpya ni kubwa si kiumri tu hata kimtazamo na kifikra, kwani Pinda yupo yupo mradi liende siku zake ziishe mjengoni na serikalini, lakini kijana ana njaa ya maendeleo na kuwafikiria vijana wenzake wanaotaabika mitaani.
   
Loading...