Tanzania: Bunge Bila wabunge wa CHADEMA lingekuwaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania: Bunge Bila wabunge wa CHADEMA lingekuwaje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by QUALITY, Apr 20, 2012.

 1. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jana nilimsikiliza Mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa makini. Nimeona umuhimu wa kuwa na wabunge kutokea CHADEMA. Pia nimeamini kuwa Kuwepo kwa mbunge mmoja wa CDM ni sawa na kuwa na wabunge 20 wa CCM/Magamba.

  Lakini swali katika tafakuli hii ni Kama wabunge wa CDM wasingekuwepo Bungeni, hali ingekuwaje?
  Tafakari, Chukua hatua.

  Quality
   
 2. a

  akelu kungisi Senior Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ingekuwa paradiso ya majizi serikalini na bungeni. Zaire ya Mobutu Seseseko ingetamalaki hapa.
   
 3. K

  Kodemu Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jehanam ya mafisad! ht wale watoto wadogo wa jk tayar nao wangekuwa washawekwa kwny system.
   
 4. Tai Ngwilizi

  Tai Ngwilizi JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  ingekuwa kama ilivyokuwa miaka ile,
  watu wanalala kama pono kwa makochi mekundu na udenda ukiwachuruzika. meza zikigongwa na wao wanazinduka usingizini wanagonga,
  kila swali jibu lake ni "serikali ipo mbioni..."
  watu kipindi cha bunge kikianza wanabadilisha channel haraka sana....the most boring tv program in the world.
   
 5. fanson

  fanson Senior Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 181
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Ingekuwa kama wakati wa mfumo wa chama kimoja!
   
Loading...