Diwani mwingine (CCM Mwanza) ahamia CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Diwani mwingine (CCM Mwanza) ahamia CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Henry Kilewo, Apr 19, 2012.

 1. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  sababu za kujiuzulu kwake hizi hapa.

  View attachment 52089 View attachment 52090
   
 2. Ditto

  Ditto Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Arusha Mambo, Napata shida ku-tune aisee kwenye link yako.. embu tuma tena hiyo link
   
 3. F

  Froida JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Duuhu Tumshukuru Mungu kwa wenzetu kujua kwamba nyakati za ukombozi wa nchi yetu sio za kungoja tena ni sasa na wote tuwaunge mkono
   
 4. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  M4C at work. Bravoooo CDM
   
 5. M

  Molemo JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Asante Mungu sifa kwa Mungu
   
 6. D

  Delko Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ili taarifa yako iwe more credible, tafadhali tupatie jina la Diwani husika.
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Kasi ya mabadiliko inatishia amani ya magamba!
  Sitashangaa sasa nikisikia wabunge wote bungeni wanaomba kujiunga na chadema.

  Maombi ya Lema yamepata kibali mbele za mungu!
   
 8. S

  STINGER Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  hiyo haitishi kwani 1995 yalikuwa nihayo hayo
   
 9. W

  WaMoroco Member

  #9
  Apr 19, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huo ni Mwanzo wa Mwisho wa CCM tunawasubiri Wabunge na Mawaziri
   
 10. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  madiwani dar mnasubiri nini?nape hamia airtel muda ndio huu.anayesubiri 2015 ndio ahamie cdm imekula kwake
   
 11. M

  Mnyonge Namba1 JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 402
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ni Sunami ya Mabadiliko.Hadi 2014 baadhi ya Wabunge wa ccm watakuwa wamehamia CDM. Wao wana Dola na Ufisadi, Sisi tuna Mungu na Nguvu ya Umma.....PEOPLES,,,,POWER.
   
 12. Dangire

  Dangire JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hii ni habari njema kwa wapenda mabadiliko wote.
   
 13. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ccm hoiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
  kidumu chama cha majambaziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

  zidumu fikra za lusinde.
   
 14. S

  STINGER Member

  #14
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  nguvu za ki-nigeria hizo, zitakwisha tu
   
 15. mauro

  mauro Senior Member

  #15
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 109
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Diwani wa Monduli nae amehamia chadema
   
 16. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #16
  Apr 19, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ngereja kaa mkao wakula...Unatumia muda mwingi kupiga porojo Bungeni na kulisahau jimbo lako,wakati BAVICHA wamekuwa kazini masaa 24 kuhakikisha Sengerema inakuwa ngome imara ya CDM.Hongereni sana BAVICHA Geita na Sengerema kwa kazi ambayo mmekuwa mkiifanya na sasa matunda yanaanza kuonekana.

  Hakuna kulala mpaka kieleweke.
   
 17. Patriote

  Patriote JF-Expert Member

  #17
  Apr 19, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 1,718
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  TuneIn Web Tuner ikigoma iload upya
   
 18. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #18
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  KAMATA WEZI MEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEN! sio jinamizi,ni virus vya m4c vnaenea kwa kasi na hakuna chanjo wala tiba.
   
 19. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #19
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,782
  Likes Received: 36,777
  Trophy Points: 280
  Rejao anasema watu wa arusha na moshi pekee ndo wanjiunga na CHADEMA, uyu wa wapi jamani???
   
 20. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #20
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Hamisi Mgwao
   
Loading...