Hoja Bungeni; Kujadili Hali ya Amani Tandahimba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hoja Bungeni; Kujadili Hali ya Amani Tandahimba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lilombe, Apr 19, 2012.

 1. L

  Lilombe JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbunge wa Lindi Mjini, CUF, Baruani katoa hoja kujadili hali iliyotete Tandahimba, tusubiri majibu ya Naibu Spika
   
 2. N

  Ngunja boy New Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baaba ya kukaa kwa muda mrefu na kuambulia patupu fedha za korosho wanatandahimba sasa waamua kuingia barabarani na kudai haki zao za malipo ya pili ya korosho kwa kuanza kubomoa na kuchoma ofisi za serikari moto huku wakiamini msemo wa wanaharakati kua ''NI AFADHALI VITA INAYO DAI HAKI KULIKO AMANI INAYO PUMBAZA NA KADHALILISHA UTU WA MTU'',Niwape pongezi tu wanatandahimba kwa kutambua hilo ONGERENI SANA.
   
 3. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  kama kawaida naibu spika anasema serikali inashughulikia, tuipe muda.
   
 4. N

  Ngunja boy New Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana magamba diiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sasa hadi kusini wanatambua uongo wenu MMEKWISHA! Big up TANDAHIMBA maisha bora yanaatikana kupituia wapinzani bhana karibuni wooooooooooooooooote!
   
 5. m

  mob JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 2,027
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  wanandugu Tanzania ya leo siyo ya mwaka 1980 watu wameshaelewa haki zao na itakuwa ngumu kuwadanganya tena
   
 6. L

  Laizer Ole Naibio Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hoo wananchi wakamatwe mara moja na kuwekwa ndani. Haiwezekani kuvuruga amani iliyojengwa kwa miaka 50. Serikali iko makini sana wasiichezee wataona cha moto.
   
 7. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  nakuulizaje?? umetumwa?? nenda mwambie aliyekutuma mwisho wa yote mtakalia ncha ya mkuki, wewe na yeye!
   
 8. REMSA

  REMSA JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,569
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Acha kujidanganya kuwa una amani wewe kwenye hii nchi,amani ya kuwafanya Watanzania wapumbavu
  mnatuibia mpaka akiba ya mwisho ya watoto wetu,halafu mnaongopea watu kuna amani.Sasa kumekucha
  watanzania hawataki tena kuendelea kuibiwa na kudanganywa kwa kisingizio cha amani,Hiyo ya Tandahimba
  ni mwanzo tu wa Watanzania kuonyesha kuwa wamechoka kuibiwa.
   
 9. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mbunge wa tandahimba yupo wapi? au yeye hajaguswa na yanayotokea?
   
 10. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Mh. Juma Njwayo mbunge wa Tandahimba alipita kwa kuiba kura hawezi kuthubutu kuingilia swala hili kwa kuwa anajua kuwa hakuchaguliwa na wana-Tandahimba.
   
 11. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Anawaza ku-sign posho ndilo lililompeleka bungeni, hao wananchi walichagua chama na sio
  Mbunge
   
 12. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  viva mozambique viva wana tandahimba. kama vipi twendeni tupandishe bendera ya mzee mondlane tuachane na hii serikali kandamizi... kudadadadekii
   
 13. M

  Morinyo JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 2,476
  Likes Received: 464
  Trophy Points: 180
  Huyu jamaa alichakachua matokeo, nakumbuka kulitokea fujo nyingi Tandahimba kipindi hicho Mh. Mbunge alikimbia sijui kama amewahi kurudi tena jimboni. Yawezekana akawa anafanya kazi zake akiwa nje ya jimbo lake. Kipindi kama hiki akikanyaga huko hali inaweza ikawa mbaya mno.
   
 14. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #14
  Apr 19, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Yule msanii Juma Njwayo siku nyingi sijamsikia akiongea, inawezekana amewasilisha hoja kwa maandishi. Ha ha haaa.
   
 15. m

  mwanakidagu JF-Expert Member

  #15
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 208
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  we laigwanani.umetumwa?.kwa miaka 50.ya ujinga na maradh unaita amani.mtakalia visu vile mlivyoituhumu cuf kuingiza 2015.wananch wamefunguka.wenyewe walime korosho af li veve limoja toka dar.likawakoloni wananzengo.jiandae kwa moto. Huo.
   
 16. e

  emkey JF-Expert Member

  #16
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 728
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Umekumbuka kuvaa c.h.u.p.i yako leo?
   
 17. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #17
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  We masai jinga kabisa,nyie ndio mnachelewesha maendeleo kwa kuswaga ng'ombe miaka na miaka,hampigi kura,hamjui haki zenu mtakufa maskin huku mkitumikia kina EL,pumbaf kabisa
   
 18. J

  John W. Mlacha Verified User

  #18
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  naibu spika kachomoa
   
 19. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #19
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  juma njwao asikanyage tandahimba most wanted now dead or alive tatizo sikorosho tu tatizo juma njwao jiuzuru usiweke maisha yako rehani
   
 20. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #20
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hata serikali ya Gadaffi iliaminisha raia wake hivyo.
  Leo unajua ilikoishia..
   
Loading...