Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hakuna haraka ya wabunge kujiengua CCM kwa sasa kwa wale wenye mapenzi mema na mageuzi, ila tutumie falsafa ya misaafu kuwa acheni ngano na magugu vikue pamoja hadi wakati wa mavuno utakapowadia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mbunge ni mfanyakazi wako. Kodi yako ndiyo ujira wake. Kama unavyomuamuru mjakazi wako, muamuru mbunge wako kutetea afya yako, usilishwe vyakula vibovu wala dawa zilizokwisha muda wake. Muamuru...
7 Reactions
27 Replies
4K Views
Pindi moja nilimsikia Pombe akijisifu kila kona ya Tanzania kuna wakandarasi wakiendelea na ujenzi wa mabarabara kwa fedha ya watanzania na serikari ya ccm. Hili linanipita kando, nikisikia ya...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Hapa nipo kwenye mkutano wa chadema Bukoba mjini chakushangaa jua ni kali balaa lakini watu wapo nyomi mbaya. Kingine nimekiona hapa ni jinsi Chadema inavyo heshimu dini, hii imetokea wakiwa...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
kutokana na Ripoti ya mwenyekiti wa kamati ya bunge ya miundombinu Mh Peter serukamba,bungeni sasa hivi. Ni kwamba bandari ya Dar es salaam,imekumbwa na wimbi la kukimbiwa na wateja kwa wingi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu poleni kwa majukumu,nipo mbele yenu kuwakilisha hoja binafsi. Tangu jana nimekua nikifatilia bunge la tz,na nilizidi kuhamasika kuendelea kufatilia bunge baada ya kumsikia mh Zitto akisema...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana jamvi, ninapoongea sasa hukumu ya kesi ya kupinga ubunge wa Mh Felix Mkosamali NCCR Muhambwe inaendelea nitawajuza kitakachojiri baada ya hukumu kamili kutolewa kinachoendelea sasa ni...
0 Reactions
64 Replies
7K Views
Angalizo: Mods kwa hekima mnaombwa msiiamishe thread hii wala kuichanganya na nyingine yoyote. Wanajamii; Wana JF Mwaka 2010 tulifanya mchakato wa kumpata JF Man & Woman of The Year 2010...
5 Reactions
90 Replies
7K Views
Tuache ushabiki! The government can not do business... Azimio la kutangaza ATCL as bankcrupcy linatakiwa sasa... And even without having any intention to start another one.
0 Reactions
0 Replies
776 Views
Fri, Apr 20th, 2012 Tanzania | Julius Nyerere International Airport. The Speaker of the National Assembly, Ms Anne Makinda, has ordered the Controller and Auditor General (CAG) to conduct...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mbunge wa Igunga(Dalaly Kafumu)umeshindwa kuitumia vyema nafasi yako uliyopewa na spika. Bungeni leo,kwa kweli hukuonesha usomi wako na umeonesha ulivyo na majungu eti wanafunzi wako wanaendesha...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.Waheshimiwa waaandishi wa habari ,naomba kutumia fursa hii kuwajuza japo kwa muhtasari yale yaliyojiri wilayani Tandahimba mpaka kufikia hali ya uvunjifu wa amani...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Julius Mtatiro 5 minutes ago near Ikwiriri, Pwani via mobile Wabunge wote wa CUF watasaini katika waraka wa sahihi za wabunge kufanikisha uwasilishaji wa hoja ya kutokuwa na imani na waziri mkuu...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Waja JF, Wajumbe watatu wa UVCCM arusha wakiongozwa na Aliye kuwa M/Kiti wa UVCCM (wilaya ya arusha mjini) zamani bwana Bananga na Mjumbe wa UVCCM arusha Mjini na Mjumbe wa UVCCM Arumeru, Majira...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kwa kuwa spika kaamua kwa makusudi kupindisha katiba na kanuni za Bunge na akiwa na lengo moja tuu la kuuhadaa umma wa watanzania walioko nje kuwa kinachofanyika hakina mantiki, ila ni jambo tuu...
13 Reactions
25 Replies
3K Views
Katika thread nyingi tuu, wachangiaji katika maada mbalimbali wanahusisha ukata serikalini na inflation wakati mapato yameongezeka mala 3.75, lakini, mapato ya wakati wa mkapa ya average ya 160bli...
0 Reactions
2 Replies
950 Views
Kuendelea kuwatetea Watz kwa maneno matupu ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa!. Kwa Watz hata upige makelele kama mtu aliyefiwa hakuna wa kukuelewa na mwisho ukipoteza Ubunge au wadhifa wako hakuna...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Spika Anne Makinda Lugha ya Kiingereza ambayo ni rasmi kwa shughuli za Bunge la Afrika Mashariki jana ilikuwa kikwazo kwa baadhi ya wagombea waliokuwa wanaomba nafasi za kuiwakilisha nchi katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa vyovyote itakavyochukuliwa ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kwa mwaka wa fedha wa 2010/11 si nzuri hata kidogo. Hali ni mbaya zaidi kuliko ilivyokuwa...
0 Reactions
0 Replies
964 Views
Back
Top Bottom