Nini kifanyike kama JK atazuia kura ya kukosa imani kwa WM (kutowajibika) + waziri wa5 (ubadhirifu) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini kifanyike kama JK atazuia kura ya kukosa imani kwa WM (kutowajibika) + waziri wa5 (ubadhirifu)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Geza Ulole, Apr 20, 2012.

?

Tunafahamu Mgomo wa Madaktari ulinyamazishwa bila ya hatua kuchukuliwa kwa Waziri, Naibu na Katinu M

Poll closed May 20, 2012.
 1. Uzalendo ulinde maslahi ya Taifa, Bunge likupige kura ya kutokuwa na imani kwa Rais

  69.0%
 2. Ikishindikana wananchi waingie mitaani kulazimisha uchaguzi mpya uitishwe

  41.4%
 3. Wananchi wasifanye chochote maana tumezoea hali ngumu ya maisha na si kitu kigeni kwa wizi huu

  3.4%
 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,065
  Likes Received: 3,989
  Trophy Points: 280
  Jamani naomba mchango wenu hili ni muhimu kwa mstakabali wa taifa hili...! Moderator naomba uunganishe hii na ile ya mwanzo hii ina typing error na naomba waliopiga kura hapa wapige kule
   
 2. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Hana madaraka hayo kikatiba labda kwa kutumia Polisi ambao nao wakiingia Bungeni kuzuia bunge ina maana bunge linaweza kupiga kura ya kutokuwa na imani naye. Hapo ni damu tu. I dont think he is so stupid.
   
 3. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  People Power
   
 4. Mzururaji

  Mzururaji JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,236
  Likes Received: 597
  Trophy Points: 280
  Jk jk jk jk kweli tumepatikana wa tanzania
   
 5. Mzururaji

  Mzururaji JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,236
  Likes Received: 597
  Trophy Points: 280
  maandamamano mwanzo mwisho
   
 6. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Not He is - It is so;
   
 7. A

  Abdillah1984 New Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Atakuwa anaingilia mamlaka ya Bunge
   
 8. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hakuana cha kuogopa hapa. Ni kwamba CCM isipochukua hatua, hatima yake ni bayana 2015. Na sijui yanayoendelea nchini, yote, ya kistaarabu na ya hasira ya wananchi ni ishara nzuri. Uwaziri sio profession mpaka wawe haohao tu.
   
 9. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Taifa letu lipo ktk transition nzito. Chadema chukua nchi hii.
   
 10. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,568
  Likes Received: 18,313
  Trophy Points: 280
  Kwa mujibu wa katiba, JK hana mamlaka ya kuzuia kura hiyo bali anaweza kulivunja bunge kabla na kuitisha uchaguzi mkuu mwingine wa wabunge tuu yeye akiwa bado ni rais na makamo pia atasalimika!.

  Angalizo, zikishapatikana hizo saini 70 ndipo bunge linapiga kura ya siri na ili Waziri Mkuu aondolewe rasmi, lazima zipatikane theluthi mbili za wabunge wote walioko bungeni siku hiyo ya kupiga kura!.

  Hata Zitto akishapata hizo saini 70, jee atapata theluthi mbili za wabunge wa kumsupport?.

  CCM kupitia party caucus yake wakiamua kumnusuru Pinda, watamnusuru na kuzama wao wote na chama chao ile 2015!?
   
 11. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Pasco acha uongo theluthi mbili ni kanuni ya nchi gani..naona grade ya uongo imekujaa damuni huwezi kuikwepa.
   
Loading...