Zawadi kwa watanzania toka Sao Paulo kwenye ziara ya Kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zawadi kwa watanzania toka Sao Paulo kwenye ziara ya Kikwete

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpayukaji, Apr 20, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  [​IMG]  Nimefanikiwa kupata picha toka Sao Paulo ambapo washikaji wa Jakaya Kikwete walipelekwa kutanua huku taifa letu likiendelea kuteketezwa na mapanya aliowapa uwaziri yeye asijali. Si mawaziri tu. Hata washikaji zake anaonadamana nao kwa kificho bila hata kutangazwa na vyombo vya habari ni janga la kitaifa. Hivi watu kama Michuzi wanakwenda kuifanyia nini nchi kama siyo ushikaji wa kifisadi?
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Hawa ndo wameenda kuangalia kilimo cha nyanya??!!

  na bosi wao akazawadiwa kofia!!!

  :mad2::mad2:
   
 3. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  i ya nani, tanzania kama uijuavyo
   
 4. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Kilimo kwanza mkuu, mapinduzi ya kijani kwa usalama wa chakula. Michuzi akirudi bongo anaweza kuwapa darasa mabwana shamba kibao. Pia ni mpiga picha mzuri kwa ajiri ya kumbukumbu kuwa ze presdaa iz in weld tua
   
 5. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kama ni kilimo cha Nyanya si wangeenda pale Kabuku lol
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  cha ajabu hawa jamaa hata aibu hawaoni!
  Wanaonekana wajinga wamwisho, wao wanachekelea tuu!
  Eeeti raisi anaenda kukagua nyanya brazil kweli??
  Na wataalamu wakilimo wanafanya nini,
  jk analeta siasa za uongozi wa udsm za kuwapa vyumba madem zao!
   
 7. Kwetu Iringa

  Kwetu Iringa JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 359
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Wataje wote tafadhali!!!
   
 8. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  On a serious note, michuzi huwa ni reporter mzuri sana. Anaweza ku report vizuri sana yaliyojiri huko Brazil , naamini kuliko mwandishi mwengine yeyote hapa bongo.
   
 9. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,339
  Trophy Points: 280
  Masikini Tanganyika!
   
 10. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  huyo maza anaeonekana pichani ndo kiburudisho

  alichobeba safari hii au kama kuna anaemjua atuambie ni

  nani huyo?
   
 11. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Nasikia jana ben nae kayachamab katrekta yao balaaaa
   
Loading...