Kiapo kinachodhihirisha unafiki wa wana - CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiapo kinachodhihirisha unafiki wa wana - CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tutor B, Apr 20, 2012.

 1. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  “Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa rushwa”
  "Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko".


  Majority ya wana CCM ni wala rushwa, ni waongo na fitina kwao ni jadi. Mnasemaje wenzangu?
   
 2. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kweli kaka
   
 3. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kiapo mdomoni rushwa moyoni
   
 4. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Wanafiki wataumbuka kwa kutopiga kura za kumng'oa mnafiki mkubwa.
   
 5. A

  Abdillah1984 New Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiapo hicho hakiendani na hali halisi tuliyo nayo
   
 6. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Mkuu kama tumeishajua hilo ni kwa nini tusifanye mkakati wa dhati ili kukifutilia kabisa hiki chama kisichokuwa na maadili?
   
Loading...