HAKUNAGA ZAIDI YA Godbless Lema! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HAKUNAGA ZAIDI YA Godbless Lema!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gagurito, Apr 19, 2012.

 1. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Leo ndio nimepata majibu kwa nini Godbless lema alivuliwa ubunge. Chopa aliyopewa na chama ndio kifo cha ccm. Kujivua gamba kwa wanachama, viongozi na madiwani wa ccm na kuhamia chadema nikutokana na juhudi zake! Huyu alikuwa tishio Arusha kwa Magamba!
   
 2. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Heko kamanda lema
   
 3. mwakichi

  mwakichi JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 420
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Maneno haya ameyasema mjumbe wa kamati kuu ya chama cha demokrasia na maendeleo ndg,mh kamanda godbless lema katika jiji la mwanza alipokua anawapokea makamanda wapya na waliokua madiwani segerema..karibuni tujenge nchi
   
 4. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Kweli Kamanda Lema na Milya watasaidia sana kuleta watu. Ukisoma ile hukumu haina mashiko na rufaa watashinda, no evidence kabisa. Uchafu mtupu. Sasa cha moto watakiona, ngoja bunge limalizike CDM waanze kupita mikoani wakiwa na milya na lema, hapatoshi.
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Waziri Mkuu atajuta kuingilia uhuru wa mahakama kwa kuutengua ubunge wa kamanda Lema.
  Pinda siku zake za kuwa waziri mkuu zimeanza kuhesabika
   
 6. Mkiliman

  Mkiliman JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 957
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Nimeona hii.
   
 7. FortJeasus

  FortJeasus JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 568
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Hongera sana kamanda wangu LEMA...matunda ya kazi zako yanaonekana wazi..Sasa inabidi ukapige kambi jimbo la KATAVI kwa Pinda,baada ya hapo pita Njombe kwa mama Makinda.
  Am praying for you.
   
 8. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Ile Chopa aliyopewa inafanya vyema. Jamaa atawaliza sana!
   
 9. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Nasikia kesho atakuwa BUKOBA, dah! Huko nadhani atakurupusha wengi.
   
 10. Micha

  Micha JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 269
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hii imekaa vizuri, itafika wakati hata polisi na Jeshi watakuwa upande wa chadema hapo ndipo itakapokula kwao.
   
 11. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #11
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Tumeona matunda, na waziri mkuu anawajibishwa ipasavyo
   
 12. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #12
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180

  Yule jaji ni mmoja wa wale wanaoitwa na wenzao kuwa ni jaji wa VODA FASTA
   
 13. Lawrence Luanda

  Lawrence Luanda JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hii iko poa mazeee..............
   
 14. ikuo

  ikuo Member

  #14
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Chadema ni moto wa gas unawaka kwa cheche moja tu. Ndo walichofanya ccm,
   
 15. mwakichi

  mwakichi JF-Expert Member

  #15
  Apr 19, 2012
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 420
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Magamba hawakujua athari ya lema..bora angebaki ubunge
   
 16. Lawrence Luanda

  Lawrence Luanda JF-Expert Member

  #16
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kila la kheri kamanda.....chopa inalipa tuitumie tuu
   
 17. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #17
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Ilisemwa ni JK aloshinikiza, leo imegeuka tena kuwa Waziri Mkuu! Nasubiri kusikia mengi mwaka huu
   
 18. P

  PJS Senior Member

  #18
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lema tupo pamoja katika mapambano haya,wao wana Pesa CCM sisi Chadema tunaMUNGU anayetupigania.
   
 19. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #19
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Kwenye hii threa wakina Rejao na Ritz huwezi kuwa kuta kamwe, wanaingia kama Guest
   
 20. N

  Nhundu Member

  #20
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mungu hashindwi Farao na ugumu wake wote alisalimu amri kitaeleweka tu ngoja Watanzania wapigike maana ni migumu mioyo yao.
   
Loading...