Lowassa hasomi ripoti ya kamati, anakusanya saini 71? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowassa hasomi ripoti ya kamati, anakusanya saini 71?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tina, Apr 20, 2012.

 1. Tina

  Tina JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 571
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 45
  Kuna taarifa zisizo rasmi kwamba Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama, Edward Lowassa, yuko bize na saini 70 za kumuondoa Pinda na sasa hotuba yake inasomwa na Makamu wake Mbunge wa Ilala, Mh.Zungu...... Stay tuned
   
 2. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Yeah lazima wote tukose.
   
 3. k

  kilolambwani JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Makubwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! yetu macho kuona na masikio kusikia
   
 4. Massawe mtata

  Massawe mtata Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tangu Pinda aingie sijaona cha maana alichofanya zaid ya kulia bungen.
   
 5. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  kweli kabisa, bora Lowassa arudi u-PM
   
 6. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Lowasa harudi hapo, hapo kumfagilia Sita tu
   
 7. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mbwa kala mbwa hiyo.
   
 8. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Lowassa maliza iyo kazi 'tuchafuke wote'.fisi kakabidhiwa bucha.
   
 9. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  hapa lowasa anaomba litokee ili waju PM sio kulialia
   
 10. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukitupa jiwewe kwenye mkusanyiko...!
   
 11. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Usipumbazike na giza ukanya njiani hata siku moja.

  utayakanyaga kukipambazuka.


  Haya twende kazi Pinda anakanyaga kinyesi chake mwenyewe
   
 12. mambo

  mambo JF-Expert Member

  #12
  Apr 20, 2012
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 2,376
  Likes Received: 5,013
  Trophy Points: 280
  Naona Lowassa atakuwa kwenye ule msemo unaosema tukose wote na pia kama yeye alionekana hafai basi na huyo naye mtasemaje?katika hali ya kawaida lazima afurahie.
   
 13. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #13
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Mambo ya siasa bana!! Ni kuchunguliana tu! Nikikukuta nakuwasha!!:A S shade:
   
 14. O

  OPTIMUS TZ JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ina maana Edo kashaweka mkono?
   
 15. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #15
  Apr 20, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  'tonge nyama, tonge mwiba'
   
 16. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #16
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,143
  Likes Received: 474
  Trophy Points: 180
  Ana uhakika kwamba kama baraza la mawaziri litavunjwa,lazima na yeye ataambulia nafasi nyingine ya uwaziri.kwani itakuwa ndio njia pekee ya JK kupunguza mpasuko uliopo kwa sasa.pia itakuwa fursa nyingine kwea Lowassa kujisafisha kwa kuchukua maamuzi magumu kwenye wizara atakayokabidhiwa tena.
   
 17. Walikughu

  Walikughu Senior Member

  #17
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kuna taarifa kama vile yupo msibani Arusha kwa Mary Nagu sasa hizo sahihi anakusanya wapi? ila mabadiliko ni lazima na ccm wakitaka watengeneze credibility basi waungane na zitto ila wasipo fanya hivyo wajue kuwa watakuwa wanapelekwa Mochwari, baada ya kukaa ICU kisha Makaburini
   
 18. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #18
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Lowassa ana wafuasi wengi mno bungeni... Pinda inakula kwake!
   
 19. Alfred Daud Pigangoma

  Alfred Daud Pigangoma Verified User

  #19
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,778
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Hiyo inaitwa ukimwaga mboga namwaga ugali...... Kudadadekiiiiiii bado Vote for no confidence to Vasco Da Gama:A S 41:
   
 20. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #20
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Yangu macho tu!
   
Loading...