BUNGE Ndo muhimili unaokwamisha maendeleo ya watanzania

chitambikwa

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
3,941
900
Wabunge mnachaguliwa ili muwatumikie wananchi mnajipendekeza kwa mawaziri tu.

Zitto kaanzisha hoja ya kuwaondoa nyie mnakwepa kwepa tu ,sasa kwa maendeleo ya nchi kuwa nyuma Bunge ndo lilaumiwe siyo serikali maana wabunge ndo wanaoilinda tu.

Wenyeviti na Manaibu weneviti wa kamati zote za Bunge + wajumbe wachache wanatosha kutia saini 70 lakini wanakwepa na kulalama .
Wabunge Jamani tupeni maendeleo kwa kutia saini
 
Tena kweli hilo umeliona, wenyeviti wa kamati za Bunge ndio hao hao waliotoa ripoti na mapendekezo mengi ikiwamo kuwajibika kwa mawaziri. Sasa tulitegemea kuwa wao ndio wawe wa kwanza kufanya hivyo. Kwanza wabunge wote wako kwenye kamati hizo, mbona hatuwaelewi jamani? kiini macho eh? mwaka huu mmekwisha. Tunawaangalia tu!
 
Back
Top Bottom