Watanzania wote tumsaidie ndugu Zitto na wabunge wengine kupata sahihi 70 za wabunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania wote tumsaidie ndugu Zitto na wabunge wengine kupata sahihi 70 za wabunge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Shalom, Apr 19, 2012.

 1. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Message from zitto.jpg

  Ndugu watanzania, Mabibi na mabwana.

  Jambo alilianzisha Ndugu Zitto ni nafasi nyingine ya kurejesha uwajibikaji Serikalini kwa ajiri yetu na kizazi kijacho. Nafsi kama hii ilikuja 2008 na tukawaachia wabunge pekee kufanya maamuzi na mwishowe Ndugu Sitta na rafiki yake Mwakyembe wakatuchakachua. Sasa nafasi imekuja tena na ni budi sasa tuichukue na kuifanya ya watanzania wote. Haya yanafanyika Duniani kote ambako wananchi waliaamua kuendele.

  Ili kumsaidi Zitto akusanye sahihi, kila mmoja mwenye namba ya Mbuge aweke hapa ili watanzania tuweze kuwatumia message au kuwapigia simu. Maamuzi magumu yanahitaji watu kuhakikishiwa kuwa kuna watu nyuma yao ambao wanasimama nao. Wabunge wakipata simu nyingi wengiwatatenda jambo lililo sahihi kabisa.


  List ya kuanzia hii hapa. tuma ujumbe wingi

  [TABLE="class: MsoTableGrid"]
  [TR]
  [TD="bgcolor: transparent"]Mwanamrisho Abama
  [/TD]
  [TD="bgcolor: transparent"]+255 775 242 006
  [/TD]
  [TD="bgcolor: transparent"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]Maida Abdallah
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]+255 784 549061
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]255 716 955024
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]Rashid Abdallah
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]+255 776 720 960
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]+255 717 095191
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]Bahati Abeid
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]+255 777 469 244
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]Chiku Abwao
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]+255 715 599 772
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]+255 784 599 772
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]Rukia Ahmed
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]255 773 178580
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]+255 718 559800
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]Mustapha Akunaay
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]+255 27 2533696
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]+255 713 512308
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]Abdalla Ali
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]+255 777 439334
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]Ally Msafiri Sara
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"][/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]Barwany Khalfan Salum
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]+255 719 662132
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]+255 789 662132
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]Batenga Nkunda Elizabeth
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]255 755 972637
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]+255 785 498815
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]Blandes Begumisa Gosbert
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]+255 713 239273
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]Bukwimba Jeremiah Maselle Lolesia
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]+255 713 418096
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]+255 789 752306
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]Bulaya Amos Ester
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]+255 752 159888
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]+255 652 293005
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]Bura Felister
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]+255 754 033426
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]Chambiri Werema Kisyeri
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]+255 784 388440
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]Chana Hazara Pindi
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]+255 22 2112538
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]Changulla Tabitha Josephine
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]+255 713 475682
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]+255 763 693920
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]Chatanda Pius Mary
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]+255 784 784692
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]+255 754 315945
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]Filikunjombe Haule Deo
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]+255 752 087766
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]+255 774 776688
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]Genzabuke Johnson Josephine
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]+255 755 861930
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]Hamad Hillal Azza
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]+255 787 653394
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]Hamid Mgaya Neema
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]+255 22 2172626
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]255 715 626262
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]Hokororo Elias Agness
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]+255 784 351838
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]+255 712 383831
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]Huvisa Pius Luoga Dr. Terezya
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]255 713 505923
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]Ishengoma Gabriel Dr. Christine
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]+255 23 261 4442
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]+255 784 369191
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]Kabati Enesper Ritta
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]+255 754 281188
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]Kairuki Jasmine Mbelwa Angellah
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]+255 754 710 854
  [/TD]
  [TD="width: 189, bgcolor: transparent"]+255 713 482827
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]  Pia tutamwomba ndugu Zitto atupatie up date ya list ili effort zetu ziende kwa wale ambao bado hawajasaini.

  Sio lazima kuwa Waziri mkuu hafai ila ni lazima tupeleke ujumbe kuwa watawala kuwa tuko pamoja na wabunge

  Mungu Bariki haya Mageuzi

  Taarifa kuto ka kwa Mhe Zitto Mpaka Sasa wabunge 52 wamesaini (saa 5.30). bado 18 tu. Mhe shimiwa Deo (CCM)) amesaini. Endelea kupiga simu hasa ukitarget wabunge wa CCM. Asante Deo KWa Kuonesha njia
   
 2. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Jumatatu siyo mbali, mmejipanga vipi kukusanya kura za wabunge kumng'oa PM.
  Inawezekana waheshimiwa wengine wamelikuchukulia suala hili kwa wepesi,

  1. Tuhimize wananchi majimboni kuwapigia simu wabunge wao kwamba wasipopiga kura kumng'oa PM, watang'oka wao.
  2. Twende kwenye media na tueleze kwa nini tumeamua Pinda aondoke.
  3. Wananchi wa Mtwara waamshwe kumshinikiza mbunge wao, wao ni waathirika zaidi wa ufisadi huu na maamuzi ya Pinda. Bandari yao anapewa mwekezaji bure kabisa.
  4. Wabunge watakaokataa kutia sahihi mkataba huu tuwatangaze hadharani kwamba nao wanatete ufisadi.
  6. Kama vile CCM wanavyokutana ukumbi wa Pius Msekwa kupanga mikakati, CDM nao wafanye hivyo hivyo ila CCM waalikwe, tuiite SEMINA YA UKOMBOZI, huko tupange mikakati na kujadiliana bila mikwara ya kanuni mbovu za bunge na kwa uhuru , hili linaweza kufanyika jumamosi.

  I don't know about you, but i am pumped up !!!
   
 3. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mimi tayari nimewasiliana na Mbunge wangu, wewe je? Hatutaki upumbavu huu wa kupeana na kutafuna mali za UMMA utadhani wenyewe hatupo!!!!

  Haiwezekani wahuni wachache wakapeana bandari ya Mtwara bure eti kwa kushindwa kulipa deni la ndege ambayo haijawahi kuruka na sisi bado tunaangalia. Hivi kweli tuna serikali hapa? Na walioingia huu mkataba bado wanalipwa kwa kodi yetu! Fedha zinaliwa, maendeleo hayaonekani na watu hawawajibishwi halafu mnatuambia hamjui chanzo cha umasikini wetu!! Upuuzi mtupu
  Suck them out
   
 4. B

  Baba Jotham Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  hivi jumla ya wabunge wa upinzani ni wangap bungeni
   
 5. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Mbunge wangu ni Sugu mkuu... sina hata haja ya kumpigia simu.
   
 6. P

  PETER NYAMWERO Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uanghalie katiba jinsi ya kupitisha emotion of no confidence support kubwa inatakiwa kutoka kwa wabunge wa CCM wasipofanya hivyo ntathibitisha kelele zao za mwaka jana na caucas yao hiyo
   
 7. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Mada ina reflect user name hako! very positive. Hizo signature eventualy ziwe public, Kamanda Lema Anaweza kabidhiwa kuinyonga nazo ccm kwenye m4c
   
 8. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Wakuu kama sahihi sabini zisipopatikana je, mnaonaje zikusanywe sahihi za wananchi elfu kumi nchi nzima zipelekwe bungeni hata kama ni June ili tuondokane na huu ujinga uliopitiliza? This is all about plan B.
   
 9. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #9
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  [h=6]Serikali legelege ya ccm haikubaliki tena tushirikiane kuitokomeza, mtumie sms mbunge wako sasa to endorse his signature for a vote of no confidence kwa waziri mkuu mizengo pinda (chukua namba hapaParliament of Tanzania)[/h]
   
 10. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mbunge wangu ni Mdee Halima,nina hakika anajua anaowawakilisha wanasimamia wapi!kazi kwao ambao muwakilishi wao ni type ya kina Lusinde
   
 11. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  na ili kuongeza probability kama mbunge wako ni wa Upinzani chagua mbunge wa CCM umtumie lazima leo inbox zao zijae, (unaruhusiwa kutuma nyingi iwezekanavyo, kwa watu tofauti lakini)

  Keep it clean, short and clear
   
 12. ARUSHA01

  ARUSHA01 Member

  #12
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Dah me cna mbunge
   
 13. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu, mimi Mbunge wangu ni John Mnyika. Nimewasiliana nae kuonyesha msisitizo tu, kwani ninaamini anajua tulichomtuma huko.
   
 14. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #14
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Usihofu Mkuu, Nassari anakaimu nafasi yake
   
 15. B

  Bigman 2012 Member

  #15
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naamini hata wabunge wa ccm watamuunga mkono ZITTO wasipofanya hivo wasirudi majimboni kuomba kura 2015

  HATUTAWACHAGUA TENA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 16. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #16
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Umeonaee ila tumepewa dogojanja
   
 17. E

  ELIESKIA Senior Member

  #17
  Apr 19, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kwnye plan B count me in .hawa wa ccm wataanza kuitana na kuleta uchama na hii ccm B ndo kabisa .mi siamin kama wa ccm watasimamia mpk mwisho.
   
 18. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #18
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  mi mbunge wangu nassari sina wasiwasi..ila nawaomba wanaoishi majimbo ya ccm wasumbueni wabunge wenu..
   
 19. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #19
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ukicheza sarakasi na taulo utakaa uchiii.
   
 20. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #20
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,199
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mbunge wangu ni lusinde sijui nifanyeje? Kudadadeki
   
Loading...