Mundali JF-Expert Member Sep 16, 2010 749 164 Apr 20, 2012 #3 That is politiki, wafuasi wao wanauwana wao wanakunywa mvinyo.
K kilolambwani JF-Expert Member Dec 3, 2010 395 75 Apr 20, 2012 #4 Isijekuwa ni picha ya zamani, enzi hizo wakipatana. Lakini kama ni ya kipindi hiki cha mparaganyiko, basi kweli siasa MBAYA
Isijekuwa ni picha ya zamani, enzi hizo wakipatana. Lakini kama ni ya kipindi hiki cha mparaganyiko, basi kweli siasa MBAYA
DALLAI LAMA JF-Expert Member Jan 31, 2012 8,651 2,627 Apr 20, 2012 #5 Seif anamwambia hamad kuwa ktk hafla hii ya ikulu nani kakualika?
T Twigwe Member Apr 11, 2012 76 18 Apr 20, 2012 #6 Wanasiasa hufanya mambo ambayo siyo hasa, ndiyo maana unaona wanasalimiana
Ileje JF-Expert Member Dec 20, 2011 8,797 12,239 Apr 20, 2012 #7 Self akisalimiana na Hamad kwa tahadhari kubwa!
Kashaijabutege JF-Expert Member Oct 20, 2010 2,696 740 Apr 20, 2012 #8 Siasa haina uadui wa au urafiki wa kudumu. Si-hasa.
ndetichia JF-Expert Member Mar 18, 2011 27,772 6,555 Apr 20, 2012 #13 ngoja nione braza juli mtatiro atasemaje..
ndetichia JF-Expert Member Mar 18, 2011 27,772 6,555 Apr 20, 2012 #14 King Kong III said: Siasa mbaya! Click to expand... acha tu muulize Faiza foxy na ankoli malaria sugu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
King Kong III said: Siasa mbaya! Click to expand... acha tu muulize Faiza foxy na ankoli malaria sugu
G Gagnija Platinum Member Apr 28, 2006 11,841 10,423 Apr 20, 2012 #15 Mende0 said: Seif na Hamad Click to expand... Waarabu wa Pemba...
G Gagnija Platinum Member Apr 28, 2006 11,841 10,423 Apr 20, 2012 #16 kilolambwani said: Isijekuwa ni picha ya zamani, enzi hizo wakipatana. Lakini kama ni ya kipindi hiki cha mparaganyiko, basi kweli siasa MBAYA Click to expand... Ni juzi tu baada ya tume ya katiba mpya kuapishwa.
kilolambwani said: Isijekuwa ni picha ya zamani, enzi hizo wakipatana. Lakini kama ni ya kipindi hiki cha mparaganyiko, basi kweli siasa MBAYA Click to expand... Ni juzi tu baada ya tume ya katiba mpya kuapishwa.