Bunge kuahirishwa kesho Jumamosi kuepuka aibu ya kufika j3 kisa saini 70 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bunge kuahirishwa kesho Jumamosi kuepuka aibu ya kufika j3 kisa saini 70

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kiranja, Apr 20, 2012.

 1. K

  Kiranja JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 754
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nawaletea taarifa hizi ambazo zimezagaa kwenye ofisi ya Spika na katibu wa Bunge kuwa huenda ratiba ikafupishwa na kesho jumamosi ikatolewa hoja ya kuliahirisha Bung kabla ya wakati ili kuilinda serikali isiangushwe na Bunge.

  Hii ndio hali halisi iliyopo huko kwenye ofisi hizo , na ntaendelea kuwajulisha nini kinaendelea kadiri watakavyokuwa wanapanga.

   
 2. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Hata wapange vipi hoja itabaki pale pale na haiepukiki kwa namna yoyote ile.
   
 3. Chona

  Chona JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 513
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 45
  Tujuze mkuu. Sidhani kama hilo lotakuwa ni suluhisho la kudumu.
  Ijulikane wazi kwamba wananchi sasa wanataka kuona serikali ikichuka hatua na sio kupewa maazimio wanayahifadhi kwenye kabati. Kama serikali haitaki kuwajibisha watendaji wake basi iwajibishwe na hilo ndo litafanyika hata kama litachelewa.
   
 4. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Mm nipo nanyi siku zote..Tuma ujumbe kwa Mbunge wako kwa Lugha ya Ustaha...lugha yenye busra ukimuomba afanikishe kuikoa nchi yetu kwa huu ubadhilifu.Tunaanza na Pinda then the rest wanafuata.
  Majina ya wabunge hayajaandikwa kwa sababu maalumu kabisa..kwa sababu hili ni swala la kitaifa wabunge wote wanatakiwa waungane kauhakikisha Tunainusuru serikali yetu.
  Asanteni.Chagua namba yoyote tuma ujumbe wako ukisema.."Mh.Mbunge nakomba uungane na wabunge wenzako kusini partition ya kupiga kura kutokuwa na imani na waziri mkuu ili tupate nafasi ya kuiwajibisha serikali fisadi ya tanzania."
  1.Phone:
  +255 27 2533696/+255 713 512308

  2.+255 754 261 888/+255 784 261 888/+255 758 500 000
  3.Phone: +255 784 338 181
  4.Phone: +255 784 549061/+255 772 961388/+255 716 955024
  5.Phone: +255 777 841536
  6.Phone: +255 22 2184262/+255 784 270578/+255 774 270578
  7.Phone: +255 787 004060/+255 754 485472
  8.Phone: +255 784 548 837/+255 754 232 484
  9.Phone: +255 784 645343/+255 767 645343/+255 655 645343
  10.Phone: +255 788 065065
  11.Phone: +255 713 730 256
  12.Phone: +255 777 432 985
  13.Phone: +255 754 284173/+255 713 902221
  14.Phone: +255 774 010 203/+255 784 717 712
  15Phone: +255 785 786110/+255 719 786110
  16.Phone: +255 787 228 620
  17.Phone: +255 754 742447/+255 784 884178
  18.Phone: +255 713 220 451/ +255 684 000 852
  19.Phone: +255 777 416 742
  20.Phone: +255 784 764392
  21.Phone: +255 784 242425/+255 755 242425/+255 713 401344
  22.Phone: +255 784 474474/+255 715 969969/+255 754 424474
  23.Phone: +255 682 723 839/+255 766 603 141
  24.Phone: +255 786 786 786
  25.Phone: +255 784 815 090/+255 754 374202
  26.Phone: +255 777 468897
  27.Phone: +255 754 372556
  28.Phone: +255 784 033333/+255 754 414444
  29.Phone: +255 773 483981/+255 714 227735/+255 754 483681
  30.Phone: +255 784 620561/+255 713 620561
  31.Phone: +255 756 291102/+255 784 597494/+255 716 256722
  32Phone: +255 756 291102/+255 784 597494/+255 716 256722
  33.Phone: +255 767 100900/+255 787 100900
  34.Phone: +255 787 77070
  35.Phone: +255 787 7707077
  36.Phone: +255 789 089189/+255 655 089189
  37. Phone: +255 777 418013
  38. Phone: +255 755 972637/+255 785 498815
  39. Phone: +255 719 662132/+255 789 662132
  40. Phone: +255 713 239273
   
 5. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Wananchi ndo wenye mamlaka ya mwisho, na mamlaka yote itatoka kwa wananchi. HIVYO ikitokea hivyo na kama kweli wabunge walikuwa hawaigizi bungeni basi warudi kwa wananchi na kuhamasisha SERIKALI Ivunjwe. Tunasubiri.
   
 6. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Watasainia Guest. Hata ile Mikataba mibovu ilisainiwa kwa mtindo huo!
   
 7. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kiuhalisia bunge lilitakiwa liahirishwe lini?
   
 8. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Wanajinyea halafu wanakimbilia kujipitisha mbele ya watu
   
 9. n

  ngulla Member

  #9
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawata weza kunyamazisha nguvu ya umma........!
   
 10. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Taulo likishadondoka unakimbilia kuficha/kufunika nini?.........Viungo vyote vinaumuhimu wake ndiyo maana at any given time vinakuwa vimesitiriwa.

  Tafakari kisha chukua hatua.
   
 11. n

  ng'wandu JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 333
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ingia hapa kwenye website ya bunge, mtafute mbunge wako, namba zimewekwa hapo na umtumie sms:

  Parliament of Tanzania   
 12. t

  think BIG JF-Expert Member

  #12
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 236
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Naomba ujumbe usomeke hivi:
  "Mh. Mbunge, ukiwa kama mwakilishi wetu bungeni, tunaomba usaini fomu ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu pamoja na baraza lake la mawaziri"

  Kama unafahamu jina la Mbunge na jimbo lake basi ujumbe wake uwe hivi:

  "Mh. [taja jina], sisi wananchi wako wa Jimbo la [taja jimbo], tunaomba usaini fomu ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu pamoja na baraza lake la mawaziri"

  Pamoja tutafika!
   
 13. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #13
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,101
  Likes Received: 7,351
  Trophy Points: 280
  weka na majina ili iwe rahisi kuwashawishi wale vichwa maji ili nao waweke saini zao unafikiri mtu kama ole sendeka, chenge, na vitu maalum wote watakua upande gani maana ulaji wao unategemea na jana ulikua umelala na nani
   
 14. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Pamoja mkuu.
   
 15. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #15
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Weeeeka majina, unaogopa nini. Hizi sio enzi za unafiki?
   
 16. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #16
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Huku ni kuharibu taswira ya JF. Bunge haliwezi kuahirishwa kirahisi kama unavyoropoka
   
 17. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #17
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
 18. chimpa100

  chimpa100 Member

  #18
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kama mm mbunge wangu siril chami ntwambia nan sasa
   
 19. Rabin

  Rabin Senior Member

  #19
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 179
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Piga chini wote
   
 20. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #20
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mkutano huu ambao ni wa Saba wa Bunge utaisha Jumanne, Aprili 24, 2012
   
Loading...