Mawaziri na wabadhirifu wataendelea kupeta tu Tanzania ni kisiwa cha amani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mawaziri na wabadhirifu wataendelea kupeta tu Tanzania ni kisiwa cha amani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mastabenja, Apr 20, 2012.

 1. M

  Mastabenja Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nchi yetu ni business as ussual wabunge watajadili sana lakini hakuna hatua zozote zitakazochuliwa pinda ataendelea kuwepo mawaziri wote pamoja na mkulo wataendelea kuwepo na kula nchi kama kawaida.kikwete pinda na kiongozi mwingine yeyote ripoti hizi haziwagusi wala hayayawaumi wanaangalia masjahi yao nchi inaliwa haiwagusi wala kuwahuru.ama kweli tanzania ni kisiwa cha amani
   
Loading...