Tanzania is sold out= tanzania imekwisha uzwa!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania is sold out= tanzania imekwisha uzwa!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zogwale, Apr 20, 2012.

 1. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Wakuu nina masikitiko moyoni baada ya kuisoma kwa undani ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali na ile Ripoti ya Mh. ZITTO pamoja na zile nyaraka muhumu ambazo Mh. Zitto anazo kuhusu uzwaji wa maeneo muhimu na ukodishwaji wa maeneo nyeti kwa kipindi cha miaka zaidi ya Arobaini, na kuwa wawekezaji kwenye ardhi wamepewa vibali vya 99 years lease.

  Kwa taarifa ambazo zimekuwepo bungeni na katika nyaraka ni kuwa the so called wawekezaji wameshikilia eneo kubwa kuliko hata yale maeneo muhimu waliokuwa wanashikilia wakoloni. Hii ni hatari kubwa kuwa kwa miaka 99 huna haki na ardhi wakati wewe na mimi tunapewa lease for 33 years!! Inaniuma sana. Hebu tupeana mawazo hapa.

  Mwenye taarifa za uhakika kuhusu uuzwaji wa Tanzania na wewe ukiwemo na watoto wako hebu ziwekeni hapa kwenye jamvi lenye uhuru wa habari ili mradi ziwe na chanzo cha uhakika. Nimekwazika.
   
Loading...