Majina ya mawaziri wanaopaswa kujiuzuru yatua mezani kwa JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majina ya mawaziri wanaopaswa kujiuzuru yatua mezani kwa JK

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by palalisote, Apr 20, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  HATMA ya mawaziri watano wanaotuhumiwa kwa ubadhirifu wa mali ya umma sasa iko mikononi mwa Rais Jakaya Kikwete, kufuatia hatua ya wabunge wa Chama cha Mapinduzi kutaka watendaji hao wajiuzulu. Habari za kuaminika kutoka ndani ya kikao cha wabunge wa CCM kilichofanyika jana mchana mjini hapa zimesema kuwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ameamua kulifikisha suala hilo mikononi mwa Rais Kikwete kwa uamuzi zaidi.


  Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya kikao hicho, kimewataja wabunge wanaotakiwa kujiuzulu kuwa ni pamoja na waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo, Waziri wa Viwanda na Biashara, Cyril Chami, na Naibu wake, Lazaro Nyalandu, Waziri Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi),George Mkuchika, Waziri wa Uchukuzi, Omar Nundu na Waziri wa Afya, Dk. Haji Mponda.

  CHANZO: TANZANIA DAIMA

   
 2. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Mkuu sasa mbona Vasco Da Gama yuko kwenye exploration kuongeza deni la Taifa si atakuta panya wamekula hilo faili na atashindwa kujua content yake?
  mi nina wasiwasi na kitakachotokea.
   
 3. E

  ELIESKIA Senior Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ongozea hapo ngeleje,malima na kombani
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Tanzania hii.
   
 5. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,844
  Trophy Points: 280
  eeh bana freedom is comming tommorrow
   
 6. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Nakugongea like mara tatu!
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  chanzo ni tanzania daima,gazeti lenye malengo maalum.
   
 8. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Pinda anatakiwa kuwa kwenye list pia
  OTIS
   
 9. lidoda

  lidoda JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 27, 2008
  Messages: 634
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 80
  Thubutuu,Usitegemee jipya chini ya serikali ya magamba. Mbona tangu mkuu wa nci alipoingia madarakani alituambia ana list ya majambazi na hakuwashughurikia na aliwaambia wajirekebishe, ile lists ya wauza unga, ile lists ya EPA, lists ya kwao ya CCM ya kujivua magambayaani troika(vijisenti,mamvi na rost amu)!!! Hapa ni kiinimacho tu ninachokiona.
   
 10. H

  Hansen Nasli JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 881
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  afukuze wote labda atuachie
  AGGREY MWANRY
  MEMBE
  TIBAIJUKA
  NAHODHA
  magufuli
   
 11. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  NAHODHA hapana...mpaka atueleze ni nani aliwacharanga mapanga wabunge HIGHNES KIWIA na SALVATORY MACHEMULI
   
 12. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #12
  Apr 20, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  mbona kwenye list hiyo wapo 6?
   
 13. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #13
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kama atawafukuza hao mawaziri sita, ina maana tayari rais anamaanisha serikali yake sio makini hivo basi avunje bunge zima na ajiuzuru tufanye uchaguzi upya, na asigombee kabisa aende kuishi ughaibuni!
   
 14. I

  Iloloman Member

  #14
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha tuone maana hii bongo,haishi vituko!!
   
 15. M

  MR.SILVER JF-Expert Member

  #15
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani katiba na sheria ya sasa haina meno mpaka kumsubiri Rais
   
 16. Mutta

  Mutta Senior Member

  #16
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pinda naye awe kwenye list ya kujiuzulu.Anawatetea wezi.Pia amekula hela ya MFUKO wa MAAFA .Mpaka leo waathirika wa MABOMU YA GONGOLAMBOTO hawajalipwa wakati pesa nyingi ilichangwa na TAASI MBALIMBALI.
   
 17. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #17
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wewe MT mtazamo wako ni upi?
   
 18. a

  anin-gift Senior Member

  #18
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 165
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Wassira, Mwinyi, magembe, kawambwa.
   
 19. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #19
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,347
  Likes Received: 2,683
  Trophy Points: 280
  alishindwa kuwatoa kina Mponda na Nkya leo hii awatoe hao sita!!!
   
 20. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #20
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Aondoke kwanza yeye mwenyewe JK na PM wake and then uchaguzi mkuu uitishwe.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...