Ya kaizari apewe kaizari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ya kaizari apewe kaizari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mringi, Apr 20, 2012.

 1. m

  mringi Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwani si kweli Imeandikwa siku sita tumtumikie Kaizari na siku ya saba tumpe Mungu,je nihaki Tanzania kuiweka siku ya jumapili kuwa siku ya kupiga kura?.wana hakika gani ni Wakristu wangapi wakotayari kuacha kumpa Mungu siku hiyo ili wakamchague bwana wa dunia?.Ni ukweli usiopingika uteuzi wa siku hiyo ndiyo imechangia wapigakura kutojitokeza siku hiyo pindi kunapotokea uchaguzi, Tushauri chaguzi ziwe zinafanyika siku yoyote isiyoambatana na siku ya sala, kwa muumini wa dini yoyote,tuondoe aibu ya viongozi wetu kuchaguliwa na 40% ya wapiga kura,Au kuna nini?
   
 2. k

  kastarehe JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 231
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uongozi wa Freemasons hauna DINI. subiri usikie dhabihu za damu zikitolewa kwa njia ya ajali za ajabu km MV Bukoba. Nchi inahitaji ukombozi hii alaa!!
   
Loading...