Sefue (Katibu Mkuu Kiongozi) atinga kwa Makinda Bungeni kuinusuru serikali

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Sefue amefanya kikao cha siri na speaker Anna Makinga na inasadikiwa kupanga mikakati ya kuvuruga presha ya wabunge wasiisulubu serikali.

IMG_1562.JPG


IMG_1557.JPG


Pichani Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Sefue akiwa na Spika Makinda Ofisi ya Spika Makinda Bungeni Dodoma.
 
Hatihati ya kuendelea na kikao cha Bunge licha ya wabunge kuomba kuongeza siku mbili zaidi hata kwa kutolipwa posho huenda lisiwezekane kutokana na mikakati inayofanywa na Katibu Mkuu Kiongozi toka Ofisi ya rais ili kuwanusuru Waziri Mkuu, Mawaziri na baadhi ya waandamizi serikalini wanaotakiwa kuachia ngazi.
 
Kwa hiyo hata hizi picha ni za siri, lol.

Mazungumzo ni ya siri, baada ya maongezi wakuu kama hawawa watengeneza vipeperushi hawakosi kuwafuma walipo na kuvizia kupata moja mbili kwa ajili ya kumbukumbu.
 
Yote kwa yote hata system yenyewe haifurahishwi na mwenendo wa mawaziri na serikali kwa ujumla wamekula hadi kupitiliza
 
Mazungumzo ni ya siri, baada ya maongezi wakuu kama hawawa watengeneza vipeperushi hawakosi kuwafuma walipo na kuvizia kupata moja mbili kwa ajili ya kumbukumbu.
Nina uhakika sana na hizi taarifa co ID hii mara nyingi huwa inaripoti mambo ya Deo nafikiria kusema kama sio Deo basi ni mtu wa jirani sana na Deo Filikunjombe
 
Hata kama watawanusuru,wamefikia hatua ya kuongoza wazee wanaoshbkia ccm,ila sio watu wenye akili timam.WHATEVER IT IS CHADEMA WAMEONGEZA 'NITOKE VIPI'
 
Cha msingi ni kuwa lazima watang'ooka iwe leo au kesho. Nguvu ya watu ni nguvu ya Mungu. Maendeleo duni porojo kibao
 
Nauona mwisho wa utawala huu mbovu umekaribia. Wanaojua kusoma alama za nyakati wameshafanya maamuzi, tieni saini wabunge wa CCM tukamilishe kazi tuliyotumwa na wananchi.
 
Maji yamewafika shingoni hawa Magamba kumbe walijua sisi wananchi tutawaelewa cku zote kwa blander zao!
 
Kwa hiyo hata hizi picha ni za siri, lol.
Vema wafanikishe hilozowezi watazidi kujichimbia shimo unafiki wa ccm unazidi kuwekwa peupe wabunge wa ccm kelelezote zinajidhihilisha jinsi wanavyopenda matumbo yao jee? zambi katia saini chadema wamewazidi palefu wabunge wa ccm wakajifanya wamenawa uso zitto kawatega kumbe bado hawajanawa uso wamechemka
 
"Picha siyo siri mazungumzo ya Siri"

Wataumbuliwa hadharani

Kwa taarifa yako picha hiyo imechukuliwa jana Ofisini kwa Makinda Bungeni Dodoma wakati wakiwa katika mazungumzo hayo, na usishangae kuona kitu kama hicho adimu kwani wengine tuna source nyingi sana za kupata habari kutokana na .....zetu. Picha halisi tulizoziweka ndizo tulizochukua wakati wakiwa katika maongezi ya wakuu hao wawili ofisini kwa mkuu mwenzake anayeongoza mhimili wa Bunge pale Dodoma jana. Waliokuwa Dodoma jana wanajua namna alivyovaa Makinda jana hawatashangaa na picha hizo. Thanks
 
Mbona Sofa hizo zimechoka sana hapo ofisi ya spika! Hizo rangi huwa zinaniboa sana
 
Back
Top Bottom