Ubabaishaji tcu mpaka lini/ua na wenyewe wajiuzuru

mkavu

New Member
Apr 2, 2012
2
0
TCU wameto tangazo la udahili kuanza lakini mpaka leo kuna baadhi ya LINK azifunguki. kwa mfano REGISTER LINK ya diploma ya ualimu,hili ni tatizo la siasa kuangilia kila kitu sasa na wenyewe waziuzuru hili kupunguza ubabaishaji huu mapama kwa hata mawasiliano yao ya simu hayapatikani.TZ ubabaishaji mpaka lini?
 
Jamani, jamani, jamani - hizolink mbona zinafunguka. Mie nimefanya registration ya vijana mwaka wa tatu sasa na ningependa kuwasifu sana TCU kwa kufanya a tremendous improvement - walivyoanza sivyo walivyo. Details zote za programmes mtu alizochagua ziko wazi - wamelink na maelezo ya guidebook mdahiliwa ajionee. Tafadhali seek advice kwa wanaojua.
 
Back
Top Bottom