Wabunge wa CHADEMA wako wapi wakat huu bungeni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wa CHADEMA wako wapi wakat huu bungeni?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ELIESKIA, Apr 20, 2012.

 1. E

  ELIESKIA Senior Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Naangalia bunge wakat huu sion wabunge wa CDM pamoja hata na kiongoz wa upinzani bungeni kuna nn au mgomo au kikao cha dharura kuhus PM. wenye taarifa watujuze
   
 2. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Hata mimi siwaoni!! Nimeona wachacche tu..
   
 3. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Nadhani itakuwa kikao cha dhalula kabla ya kutoa msimamo wao kuhusu hoja ya Spika
   
 4. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Nadhani wapo ktk cocus yao makamanda hawa,nafrahi kwani tumepata la kusema m4c.wabunge wa ccm na USANII WAO MKUBWA..god bles filikunjombe.
   
Loading...