Chonde! Spika Anna Makinda hatma ya CCM na serikali yake iko mikononi mwako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chonde! Spika Anna Makinda hatma ya CCM na serikali yake iko mikononi mwako

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by commonmwananchi, Apr 20, 2012.

 1. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,180
  Likes Received: 487
  Trophy Points: 180
  Mama Mheshimiwa Spika Anna Makinda,nikiwa raia mtanzania na mpenda ukweli,sina uhakika kama utapata wasaa au hata kama huwa unapata muda wa kupita ndani ya hii JF,ingawa nina uhakika huku si marafiki zako sana.

  Naandika ili wewe na wengine ambao mnayo dhamana ya kuruhusu mchakato wa hizi kura za kutokuwa na imani na waziri mkuu uendelee kama taratibu zinazopaswa kufuatwa kihalali.hatua yoyote ile mtakayoichukua na kutumia rungu la chuma kuizuia aidha kwa kuahirisha bunge kabla ya jumatatu,basi mjue matokeo yake yanaweza kuwa historia ambayo ccm na serikali yake wataendelea kuijutia kwa muda mrefu sana.

  Elewa watanzania wamechoka kuhangaika huku jasho lao likifaidiwa na wachache wasiostahili,tunapenda kuona haki ikitawala nchini bila fitna na ufisadi hu tunaouona.maamuzi yako mazuri ndio yatakaayoiokoa ccm na aibu hii,pia maamuzi yako mabaya ndio yatakayoimaliza ccm mbele ya umma wa watanzania wapenda haki nchini kote.

  Nakuomba kupitia forum yetu pendwa JF mungu akubariki akurudishie busara na utende haki,tumeambiwa ulikuwa ukiteta na katibu mkuu ikulu Bw Sefue,hatujui kama alikuja kukushauri yenye wema au yenye maslahi kwa watu fulani.tunaomba mungu akuongoze kwa hili ututendee haki.

  AMEN.
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Atende kufulahisha/kuklnda chama HUKUMU YA MOLA II JUU YAKE!Kwa maana machozi ya watanzania wanaolalamikia ugumu wa maisha uku kuna watu wanatumbua mabilioni!
   
 3. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,180
  Likes Received: 487
  Trophy Points: 180
  Akumbuke kuwa ili aishi kwa amani na kufurahia pensheni yake ya uspika itatewgemea na maamuzi magumu atakayochukua wakati huu.
   
Loading...