MP3: Kwa wale ambao hawakuwasikiliza Nyerere na Filikunjombe jana Bungeni. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MP3: Kwa wale ambao hawakuwasikiliza Nyerere na Filikunjombe jana Bungeni.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Losambo, Apr 20, 2012.

 1. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kwa wale ambao hawakusikiliza ni wakati muafaka wa kujua nini wabunge hao walikisema dhidi ya mawaziri ambao wanatuhumiwa kwa wizi.

  Ni ushujaa wa kipekee kwa kijana Filikunjombe ukizingatia yeye siyo mpinzani lakini amekubali kuifia nchi yake.


  View attachment Nyerere na Deo Fulikunjombe Bungeni Jana..MP3

  Nawasilisha.
   
 2. N

  Ngoiva JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu nashukuru kwa hili, imetulia sana. kama unayo ya majumuisho ya mhe. ZITTO na MHE. DK. LYATONGA MREMA, ya jana jioni tubandikie kamanda wangu. thanx!
   
 3. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,705
  Likes Received: 17,756
  Trophy Points: 280
  Duuh, kumbe ilikuwa ni jina moja baada ya jingine
   
 4. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Thanks sana
   
 5. Prisoner 46664

  Prisoner 46664 JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 1,955
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Ubarikiwe chief!
   
 6. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Mweeee mweee mweee haka kamchina kananikosesha uhondo wajameni?
  
   
 7. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ngereja alichukua chake mkuu nikaja kupewa taarifa yaani nilisikitika sana mkuu. Tupo pamoja mkuu.
   
 8. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,018
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mzee tuwekee na zingine.
   
 9. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Jamani mngesema Vicenti Nyerere , nilitegeme kupata sauti ya Baba wa Taifa........kazi nzuri pia huyo ndio mtoto wa Nyerere ambaye Ben Mkapa alituambia sio mwanae.....
   
 10. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mkapa anajua sumu ya jamaa ndiyo maana akaamua kulaghai wananchi mkuu.
   
 11. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Umeme ulikatika mkuu maana nilikuwa narecord online.
   
 12. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #12
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  pinda-bungeni-mawazo.jpg Niliahidi.jpg

  Mh. FILIKUNJOMBE AMETOA kali.

  Safiiiiiiiiiiiiiiii

  Sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  MIZAMBWA
  NABII MTARAJIWA!!!
   
 13. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #13
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mkuu PM anatia huruma lakini tuseme ukweli uwezo wake ni mdogo na hii ikipita inaweza kuwa nafuu kwake.
   
 14. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kumbe kampuni zote za wabongo ndo hawa hawa wanaochukua wake na watu apa Tz na matanuzi ya kufa mtu
   
 15. Jaji

  Jaji Senior Member

  #15
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeipenda sana
   
 16. d

  dada jane JF-Expert Member

  #16
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Losambo Mungu akubariki mtumishi.
   
Loading...