Ikitokea pinda kupigwa chini what next?

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Huwa najiuliza ivi Pinda akipigwa chini does that mean baraza la mawaziri lote limepigwa chini au wao wanaendelea na majukumu?
Msaada wa interpretation pls
 
Kisheria ni kwamba waziri Mkuu akipigwa chini it means baraza lote la mwaziri linaanguka, hakuna mawaziri bila PM.
 
tujiulize pia ikitokea hvyo nani anastahili kuwa waziri mkuu ndani ya ccm?
 
Magufuli na mwanri? Ina maana nchi yenye watu 40+ m hakuna wenye kufaa bali ni Magufuli na Mwanri?
 
kwa katiba ya sasa, hivi inawezekana pm akatoka chama kingine, kama ndio... basi kwangu mr. lyatonga anafaa kuwa pm
 
kwa mtazamo wangu naona kama haitawezekana kumuondoa sasa.....i hope walioanzisha mchakato huu wana plan B,isijekuwa kama issue ya madaktari na waziri wa afya.......then.......
 
Back
Top Bottom