Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Inavyoonekana sasa hawana jinsi. Wamesurrender. Lazima ving'ang'anizi waachie ngazi. Hivi, itakuwa ni kwamba serikali ya JK imeangushwa na Zitto?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
hawa wabunge ni wajumbe wa mabaraza ya madiwani kwnye majimba yao. na wanapaswa kusimamia halmashaur hizo kama madiwani. iweje leo waje walalamikie bungen kama vile hawakuyaona huko kwnye majimbo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Anne aja juu adai sio kikao halali kwa mpango huo asema wale wanaotaka hilo wajipange hadi kikao kijacho. Huyu mama hajui kwamba watu wanzijua sheria
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Kuna tetesi kuwa ZZK katumwa na Mkuu wa Kaya..., Nimekuwa nikijiuliza, ni kweli mkuu wa kaya alikuwa hana taarifa za huu ubadhirifu wa mabilioni uliofanywa na aliowateua au ndo tunafanyiwa maigizo...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Nimefuatilia na kugundua Rais JK anafuata mfumo wa uongozi makini ambao unashirikisha taasisi mbali mbali za uongozi na maamuzi ndani ya serikali. Mfumo wake wa uongozi unatoa maamuzi yanayotokana...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Kulikuwa na mjadala hapa kuhusu Julius Kalanga kuhama au kutohamia chadema. Sasa imedhihirika kuwa alikuwa anasubiri kukusanya kundi la madiwani wa monduli ambapo kesho watahamia chadema...
17 Reactions
81 Replies
10K Views
Chama cha Mapinduzi bila ya shaka kipo msambweni, 1.0 Kukimbiwa na makada wake, madiwani, mwenyeviti na mwanachama bila kusahau wafuasi ambao walikuwa na mapenzi na CCM lakini siku hizi hawana...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mazumuni ya AZIMIO yalikuwa ni kupata viongozi bora kama utakumbuka wakati wa azimio ilianzishwa LEADERSHIP COURT ya kusimamia tabia ya viongozi na kuwawajibisha pale wanapokosea lakini...
0 Reactions
0 Replies
871 Views
Kumbe wabunge wetu, pamoja na kuaswa na spika, wanashindwa kutofautisha mjadala wa hotuba za mawaziri wakati wa bunge la bajeti na mjadala wa hotuba za wenyeviti wa kamati za bunge. Mbunge...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu kwa jinsi upepo wa kisiasa unavyovuma ni wazi hao mawaziri wanaosemwa watajiuzuru. Inaweza ikatokea baada ya kujiuzuru wakavaa taswira ya ukombozi au upambanaji maana watakuwa wanajua...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimefatilia mijadala/kelele za wabunge zinazodai baadhi ya mawaziri wenye matatizo watimuliwe upesi kazi……baadhi ya mawaziri hawa ni:waziri wa fedha, waziri wa biashara na naibu wake,waziri wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
47.-(1) Kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atakuwa ndiye Msaidizi Mkuu wa Rais kuhusu mambo yote ya Jamhuri ya Muungano kwa jumla, na hususan- (a) atamsaidia Rais katika kufuatilia utekelezaji wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii ni Dalbit International Ltd COMPANY PROFILE kwa wale mnaohisi/kufuatilia kama Kampuni hii kubwa ya mafuta katika eneo la maziwa makuu iliyoanza kazi mwaka 2009 ni mali ya Rais Kikwete...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari yako Mheshimiwa Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya mahesabu ya umma, nakuandikia waraka huu kwa kuwa mimi ni mmoja wa huo umma ambao unasimamia mahesabu yetu. Nimefatilia hoja...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni mara chache sana kuona wabunge hasa wa chama Tawala wakikiuka 'utaratibu' wa kubebana na kujitoa Mhanga kwa kutetea Maslahi ya NCHI. Natoa pendekezo kuwa wabunge wote waliosaini karatasi ya...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
47.-(1) Kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atakuwa ndiye Msaidizi Mkuu wa Rais kuhusu mambo yote ya Jamhuri ya Muungano kwa jumla, na hususan- (a) atamsaidia Rais katika kufuatilia utekelezaji wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana Jf, Hapa nataka kujaribu kuunganisha dots zangu kwa matukio yafuatayo:- 1. Mapambano ya Lowasa kama alivyoahidi? - Maana ukichukulia watu wake wa karibu ndio hao wanahamia CDM na yeye yupo...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Bi.Kiroboto alipotaka kuzima hoja ya Zitto
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Chanzo: mpayukaji blog Kila siku dunia inalaani ubaguzi. Kila siku Afrika inakaribisha kila aina ya wageni wakiwamo wezi, matapeli hata waliokuwa wema. Lakini ndugu zetu wenyewe wanateseka na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama aliona makada watatu wanahaki kuliko wapiga kura zaidi ya 50,000 . Hapa anaweza sema mawaziri wanahaki kuliko watanzania zaidi ya 40milioni na wanafunzi wanaokaa chini, shule za kata zizsizo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom