Mkutano wa Chadema Bukoba Live | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutano wa Chadema Bukoba Live

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ThinkPad, Apr 20, 2012.

 1. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  hapa nipo kwenye mkutano wa chadema Bukoba mjini chakushangaa jua ni kali balaa lakini watu wapo nyomi mbaya.

  Kingine nimekiona hapa ni jinsi Chadema inavyo heshimu dini, hii imetokea wakiwa wanatumbuiza ikafika saa 10 na madakika mida ya adhana kwajinsi chadema inavyo heshimu wakastopisha shughuli zote mpaka ibada ilipoisha chedema naona wanaendelea huku wananchi wakimiminika.

  source ni mimi mwenyewe.
   
 2. Muadilifu

  Muadilifu Senior Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 150
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu ThinkPad, ni mkutano wa nini? na ni nani anauendesha?
   
 3. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Naona wahaya sasa wameamka yaani huu muamko sio mchezo mpaka wanawake duh! yaani mimi.

  Sasa hivi mkutano umesimamishwa ili watu wamalize kuswali then mkutano unaendelea kama kawa.
   
 4. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  usisahau kupiga picha za matukio.
   
 5. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mkutano wa siasa na viongozi mbali mbali wa chadema ndio wanauendesha mada zitakazo jadiliwa ntawaletea maana sasa hivi wanasubiri msikiti wa hapo jirani wamalize kuswali.then waendelee.
   
 6. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  ok ntaangalia kama ntaweza.
   
 7. Maruku Vanilla

  Maruku Vanilla Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: Jun 14, 2010
  Messages: 60
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Sasa hivi anaongea Diwani wa CUF - Rwamishenye- Dismus
   
 8. Maruku Vanilla

  Maruku Vanilla Member

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: Jun 14, 2010
  Messages: 60
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  ......anawaeleza wananchi jinsi TRA inavyowathamini wafanyabiashara wakubwa lakini inawadharau hawa wadogo.
   
 9. L

  LAT JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  tupia tupia picha basi kama unaponunua mishikaki huwa wanatupia na vichips kwa mbalii
   
 10. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  :a s 41:
   
 11. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Sikiliza Arusha mambo kwa habari za ukweli na uhakika!!
   
 12. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #12
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Nafuatilia kwa karibu
   
 13. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #13
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hakika CCM inaanguka kama mnara wa babeli.
  pole Nape poleni Magamba tutakutana Kisutu mkijibu kesi zenu.
   
 14. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  naninatahutubia mkutano huo?
   
 15. Maruku Vanilla

  Maruku Vanilla Member

  #15
  Apr 20, 2012
  Joined: Jun 14, 2010
  Messages: 60
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Kwa sasa anaongea Bw. Ikengya. Halafu atakuja Muganyizi Entare, Engaaaju Rwakeupe, Rwakatare. Kiukweli Arumeru imebadili Political landscape ya Tanzania. Wanaongea Ki-Arumeruarumeru tu!
   
 16. m

  mwanakidagu JF-Expert Member

  #16
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 208
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  picha.bwana.tangu regia alipotutoka.hakuna picha tena.weka picha.
   
 17. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #17
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Natumia simu ila watu ni wengi sana mpaka wengine wapo JUU YA MSIKITI WATU ZAIDI YA 12 maana uwanja ni mdogo.

  Sasa hivi anaongea Wilfred Rwakatare.
   
 18. Maruku Vanilla

  Maruku Vanilla Member

  #18
  Apr 20, 2012
  Joined: Jun 14, 2010
  Messages: 60
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Dah! Kumbe suala la Zitto na sahihi ilikuwa Mkakati wa CDM na Zitto alipewa jukumu kuongoza Kamati. Lwakatare anabainisha. Lengo ilikuwa ni kuwaumbua wabunge wa ccm wanaodandia hoja za CDM...wanataka Wananchi wawajue kuwa ni wanafiki.
   
 19. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #19
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Vanilla umetia vanilla bana mbona mimi sijaskia hivyo wakati nipo hapa mkutanoni.

  Vanilla ni pm maeneo gani ya Bk naweza pata menu nzuri ya jioni kabla sijaondoka hapa Bk.
   
 20. S

  STIDE JF-Expert Member

  #20
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Iwee epicha zilinkaasi!!? Tupia hapa mkuu tunasubiria!! Vipi Rwakatare anasemaje, Dismus lile ni jembe mkuu linayapi leo? Mkuu tupe updates za kutosha!!
   
Loading...