Cuf makao makuu yaagiza wabunge wao wote kusaini waraka wa zitto kabwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cuf makao makuu yaagiza wabunge wao wote kusaini waraka wa zitto kabwe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MTANGANYIKA ORIGINAL, Apr 20, 2012.

 1. M

  MTANGANYIKA ORIGINAL Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 3
  [​IMG]Julius Mtatiro
  5 minutes ago near Ikwiriri, Pwani via mobile


  Wabunge wote wa CUF watasaini katika waraka wa sahihi za wabunge kufanikisha uwasilishaji wa hoja ya kutokuwa na imani na waziri mkuu ili baraza la mawaziri "wezi" wanaotetewa chini ya kivuli cha waziri mkuu na rais LIVUNJWE. Mungu ibariki Tanzania. Mapambano yanaendelea...
   
 2. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Mtatiro najua huyu Pinda alifanikisha sana harakati za HR kuivuruga CUF, am I wrong?
   
 3. kevin nathan

  kevin nathan Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nawaambia hawatafanikiwa hiyo ni story kama nyingine zinazotokeaga tanzania siitofautish na story ilokuwepo ya dowans richmond kagoda na meremeta pia buzwagi ,huwa sioni wabunge wanafanya nini bungeni wanashindwa kuiwajibisha sirikali kwa maovu wanayotufanyia tena kaeni kimya mmeshindwa yale ya dowans mtaweza haka kakes kadogo
   
 4. o

  oldonyo JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Big up mtatiro
   
 5. M

  MVENGEVENGE Senior Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  :target: Mtatiro........ kwa hilo CUF tutawasamehe dhambi ya " ndoa" na magamba huko kengeja!
   
 6. MANGI MASTA

  MANGI MASTA Senior Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  big up cuf tukiendelea kuwa wamoja hivi ccm watatimka mapema sana
   
 7. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  big up sana mtatiro
   
 8. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ndoa ndoano lakini at least sio kila kitu mnamuunga MKONO mr.
   
 9. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Huyu mtatiro anapima upepo..vp huko kuna ubwabwa? Mean IKWIRIRI.ccm+cuf=4rever in luv
   
 10. MAKOLE

  MAKOLE JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Ikiwa hivyo ni good start but tunafaham kuwa aliyeshiba hamjui mwenye njaa.
   
 11. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 938
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Mie hata siamini,maana CUF ni mke halali wa CCM,sasa wewe unadhani mke atamsaliti mumewe.Hawa CUF ni wanafiki na kama hamniamini subiri mtaona.
   
 12. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #12
  Apr 20, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  hongera kamanda kwa hilo
   
 13. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #13
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,146
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  asanteh sana mtatiro umefanya jambo la maana sana.
   
Loading...