Namba contact za mh Zitto Kabwe ili nimshawishi agombee u rais wa tz! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namba contact za mh Zitto Kabwe ili nimshawishi agombee u rais wa tz!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by CHAI CHUNGU, Apr 20, 2012.

 1. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Wakuu poleni kwa majukumu,nipo mbele yenu kuwakilisha hoja binafsi.
  Tangu jana nimekua nikifatilia bunge la tz,na nilizidi kuhamasika kuendelea kufatilia bunge baada ya kumsikia mh Zitto akisema kwamba leo asubuhi atahamasisha wabunge wasaini form maalumu ya kutokua na imani na waziri mkuu.Mh Zitto alilitekeleza hilo leo asubuhi,na mpaka kufikia jioni hii tayari matokeo mazuri yameonekana baada ya kusikia kwamba kuna baadhi ya mawaziri "wameachia ngazi"kwa hayo machache nimefurahishwa na juhudi za mpiganaji huyu mwenye uchungu na nchi yake,sasa naomba mwenye direct contact nur za mh Zitto anipe ili nimpigie na nimuombe agombee urais wa Tanzania na mm ntatumia muda wangu kuwashawishi vijana wenzangu ktk eneo ninaloishi ili apate around 90 ya kula za vijana wenye uchungu na nchi hii.
  Hayo ni ya kwangu binafsi na sikulazimishi wewe uniunge mkono.
  "Huo ni wangu mtazamo masela
  msijenge chuki"
  Naomba kuwakilisha!
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  0749234577
   
 3. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Thank u.
  Huu ni mtandao gani?
  Voda au?
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  sasatel
   
 5. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  duh haya.........napita tu
   
 6. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Thank u mkuu!
  I know kwa sasa anaweza kua busy,but in the morning ntampigia then ntafunguka hapa kuwajuza nn kanijibu.
   
 7. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Mkuu nimejaribu kumtafuta but this nur is very very busy!
   
 8. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  This nur is not collect mkuu!
  Inaonyesha alishabadilisha this nur.
   
Loading...