Jaji atupilia mbali madai ya wadai wa Mkosamali

Dingiswayo

Member
Jun 6, 2009
63
54
Wana jamvi, ninapoongea sasa hukumu ya kesi ya kupinga ubunge wa Mh Felix Mkosamali NCCR Muhambwe inaendelea nitawajuza kitakachojiri baada ya hukumu kamili kutolewa kinachoendelea sasa ni majumuisho mbalimbali ya kesi hiyo.
 
Twasubiri kwa hamu idadi ya wapinzani izidi kupungua mjengoni

@Mafili sijakuelewa hata Chembe. Umeridhika na utendaji wa hii serikali ya sasa?

Unajua bei mafuta wewe?

Unajua Bei ya umeme wewe?

Unajua kama bei ya nauli dala dala itapanda?

Unajua ni watanzania wangapi wanakosa ajira at the expence ya Wakenya?

You just f***ck me off. you really do.
 
Mkuu tafadhali uwe unatu-brief kila hatua, viti havikaliki huku. Magamba wana mkakato mzito wa kupunguza wapinzani kwa kuitumia mhimili huu wa kutafsiri sheria
 
@Mafili sijakuelewa hata Chembe. Umeridhika na utendaji wa hii serikali ya sasa?

Unajua bei mafuta wewe?

Unajua Bei ya umeme wewe?

Unajua kama bei ya nauli dala dala itapanda?

Unajua ni watanzania wangapi wanakosa ajira at the expence ya Wakenya?

You just f***ck me off. you really do.

Vivian huna haja ya kukmasirikia mtu kama huyo
Ametimiza wajibu aliotumwa
Kwa mtu mwenye akili na fikira za maana hawezi kusema ujinga kama huo wakati anaona hali halisi ilivyo
Wabunge wa magamba ni kelele mingi tuu hawana lolote
At least tuwe na hao wa upinzani waifundishe serikali nini cha kufanya
 
Wakuu msiwe na wasiwasi ntawapa kile kitu hot toka jikoni..nipeni muda mana majumuisho hutakiwi uyatolee conclusion wewe, yanaweza pinduka anytime...bado sijauona uelekeo wake hivyo tuvute subira.....
 
Vivian huna haja ya kukmasirikia mtu kama huyo
Ametimiza wajibu aliotumwa
Kwa mtu mwenye akili na fikira za maana hawezi kusema ujinga kama huo wakati anaona hali halisi ilivyo
Wabunge wa magamba ni kelele mingi tuu hawana lolote
At least tuwe na hao wa upinzani waifundishe serikali nini cha kufanya

Ninawachukia sana magamba.

Kwanini tuwape Dolla then washindwe kutimiza wajibu wao?
 
bora mungu hakuwa KIFULAMBUTE maana mpaka sasa kila mtu akivaa kijani anakufa papo hapo tena kwa kugongwa na TOYO ama kuliwa na simba
 
Ninawachukia sana magamba.

Kwanini tuwape Dolla then washindwe kutimiza wajibu wao?

Trust dear, you are not alone. Lakini hebu kumbuka usemi unaosema.........wao wanapesa na sisi tuna Mungu.
 
Mkuu tunasubiri kwa hamu. naona hii inachukua muda, ya Lema ilisomwa km dk 30 tu
 
@mafili sijakuelewa hata chembe. Umeridhika na utendaji wa hii serikali ya sasa?

Unajua bei mafuta wewe?

Unajua bei ya umeme wewe?

Unajua kama bei ya nauli dala dala itapanda?

Unajua ni watanzania wangapi wanakosa ajira at the expence ya wakenya?

You just f***ck me off. You really do.

usibishane na mpumbavu usijefanana nae imeandikwa,asikusumbue huyo.
 
Back
Top Bottom