Miradi ya ujenzi wa barabara na Magufuli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miradi ya ujenzi wa barabara na Magufuli

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Makene, Apr 20, 2012.

 1. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Pindi moja nilimsikia Pombe akijisifu kila kona ya Tanzania kuna wakandarasi wakiendelea na ujenzi wa mabarabara kwa fedha ya watanzania na serikari ya ccm.
  Hili linanipita kando, nikisikia ya kwamba wakandarasi wengi sasa wameacha, au hawaendelei na ujenzi wa barabara zinazojengwa chini ya kiwango.
  Sijawahi kumshabikia Magufuli hata chembe. Huyo ni mtu wa hasara kwa nchi hii, hatufai, halafu matambo sasa.!
   
 2. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,105
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  believe it,nina jamaa yangu yuko tanroad makao makuu anasema wana madeni kibao ambayo hayajalipwa na barabara nyingi zinazinduliwa bila kuwa na fedha. Mfano ni ule mradi wa darts ulizinduliwa ukiwa una pesa kidogo nazo zilitumika kwenye miaka hamsini na upuuzi mwingine unaoendelea. Miradi mingi inayokamilika ina ufadhili wa asilimia mia kutoka nje mf barabara ya iringa kuanzia iyovi mpaka mafinga. Otherwise nyingine zinajengwa kwenye documents na kukamilika.
   
 3. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Pesa zote zimeingizwa kwenye safari za Vasco Da Gama Pori
   
 4. J

  JASOTA Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we humjui uyu fisadi ni balaa eti,,,,ebu pita kwao ukaone,,,kajenga nyumba kawapangisha wafanyakzi wa halmashauri,,,kachukua km za hekari karbu mji mzima eti anafuga wakti hta ndugu zke hawana pakulima...sasa mtu aspjali nduguze we ulidhani atakujali wewe fkara????mimi staki ata kumzskiliza na ndo anaiua ccm kwa kukurupuka kwake,,,,hafaiiiiiii
   
 5. P

  PAULO WA MSALABA Senior Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Miradi ya barara imesimama. Ikwiriri, itigi-tabora, tabora-urambo, dodoma-mayamaya, korogwe-handeni, magole-kilosa, n.k. Anajisifu bure tu. Hizi nilizotaja nyingi ziko na wakandarasi wachina. Tena wamechoka. Aache kujisifu. Atuambie barabara zinazokamilika mwaka huu ni zipi.
   
 6. P

  Pilitoni JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 1,001
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Wewe na upuuzi wako tuambie,nani anafaa kushika hiyo wizara? Usiwe kama askari wa usalama barabarani! Usipo appreciate kazi anazofanya magufuli,utakuwa na tatizo,unaumwa medulla oblangata hakika.
   
 7. B

  BULOLE BUKOMBE JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kama kuna mtu anasema kazi ya magufuli ni mbaya basi hakuna tena mtanzania hata mmoja atakayefaa mbele ya huy mjinga. Dr. Magufuli anafaa kila anakokwenda ila tatizo la wote wanaomponda ni wavivu na wamezoea blabla na ubabaishaji mwingi kwa magufuli kama ulitegemea hilo utalipata kwa Mkulo anayechelewesha fedha za Makandarasi wa barabara ili Dr. Magufuli aonekane hafai mbele za wajinga kama huyu anayemthumu mtaalam wetu.
   
 8. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kaka kusema mji mzima huo ni uongo. Magufuli amejaribu kuwa na mifugo ya aina mbalimbali katika shamba lake kuanzia ngombe hadi samaki anafuga. Magufuli ni muwazi, aliwahi kuwaambia wafanyakazi wake wa wizara fulani kuwa yeye kachukua mkopo benk fulani wa fedha kadhaa na amejenga majumba na restaurant pale chato. Majengo hayo yalikodishwa kwa halmashauri ya wilaya kwakuwa haikuwa na majengo lakini kwa sasa wameshajenga ofisi zao na wanajenga nyumba za watumishi. Alifanya hivi ili kuhakikisha kuwa wafanyakazi mbalimbali wakipangiwa chato wasilale mbele. Pia amejenga kanisa na lambo kubwa ambalo linatumika kwa ajili ya mifugo na upande mwingine maji kwa ajili ya matumizi ya binadamu.

  Magufuli anapenda maendeleo ya chato na hivyo naamini ni mtu anayependa maendeleo ya taifa hili. Nilichojifunza kwake ni kuwa anapenda kujifunza, haki na kutumia nafasi yake vizuri kwa maendeleo yake, Chato na Taifa bila njia za mikato.

  Hiyo miradi ya barabara kusimama sio kosa lake bali ni serikali kwa ujumla haina hela sasa yeye afanyeje? Mwisho wa siku lazima tukubali kuwa kila binadamu ana mapungufu na hulka yake ila kwa ufisadi huyu bwana hayupo.
   
 9. B

  BULOLE BUKOMBE JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kama kuna mtu anasema kazi ya magufuli ni mbaya basi hakuna tena mtanzania hata mmoja atakayefaa mbele yako mjinga wewe.

  Dr. Magufuli anafaa kila anakokwenda ila tatizo la wote wanaomponda ni wavivu na wamezoea blabla na ubabaishaji mwingi, Kwa magufuli kama ulitegemea hilo umemkosa ila, utalipata kwa Mkulo anayechelewesha fedha za Makandarasi wa barabara ili Dr. Magufuli aonekane hafai mbele za wajinga kama wewe msiojua ukweli ni upi na uwongo ni upi. Kitu kama hukielewei ni bora ukakaa kimya kuliko kulaumu kila kitu. Kama Dr. MAGUFULI HAFAI NI NANI ANAYEFAA KWAKO?
   
 10. P

  Pilitoni JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 1,001
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Sawa m2 hawezi akakosa mapungufu ila magufuli ni jembe na ktk Tanzania hii tunahitaji watu wa namna hiyo wengi!Sisi ni wazuri ktk kukosoa,kulalamika na kupiga makelele bila utendaji mambo yanayotufanya tuonekane wa ajabu hata kwa nchi majirani zetu.
   
 11. B

  BULOLE BUKOMBE JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kama kuna mtu anasema kazi ya magufuli ni mbaya basi huyo mtu amelaaniwa ni mjinga na hafai kokote maana haelewi hata kupambanua rangi nyeupe na nyeusi. Dr. Magufuli anafaa kila anakokwenda ila tatizo la wote wanaomponda ni wavivu na wamezoea blabla na ubabaishaji mwingi kwa magufuli kama ulitegemea ujinga kama huo kwa Dr. Magufuli umemkosa ila nenda kwa Mkulo anayechelewesha fedha za Makandarasi wa barabara ili Dr. Magufuli aonekane hafai mbele za wajinga kama wewe.
  Kumbuka siyo kila mwenye magari na majumba ni fisadi fuatilia uone kipato chake kama hakimruhusu kumiliki mali unazoziona chato pia kumba huyo ni msomi na siyo kabweteka kama walivyo wajinga kama wewe unaowafagilia kwa taarifa yako hata kama baraza likivunjwa Magufuli atarudi tu.Kawaambie na waliokutuma kuchafua watu.
   
 12. B

  BULOLE BUKOMBE JF-Expert Member

  #12
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kama kuna mtu anasema kazi ya Dr. Magufuli ni mbaya basi huyo mtu amelaaniwa ni mjinga na hafai kokote maana haelewi hata kupambanua rangi nyeupe na nyeusi. Dr. Magufuli anafaa kila anakokwenda ila tatizo la wote wanaomponda ni wavivu na wamezoea blabla na ubabaishaji mwingi kwa magufuli kama ulitegemea ujinga kama huo kwa Dr. Magufuli umemkosa ila nenda kwa Mkulo anayechelewesha fedha za Makandarasi wa barabara ili Dr. Magufuli aonekane hafai mbele za wajinga kama wewe.
  Kumponda Magufuli ni kukosa shukrani mtu anajitoa kwa moyo wake wote anakubali kuchukuiwa na kila mtu wakiwemo Viongozi wake, mawaziri wenzake na wabunge.Lakini bado nyie wakosa shukrani hamlioni hilo ni mawaziri wangapi wanaweza kufanya kazi kama Magufuli? Wewe hata usipomshabikia Mungu anaona kazi kazi zake na kamwe hataanguka kwa kupondwa na watu waliochoka kama wewe wanaotumia masaburi kufikiri maana hawaoni kinachofanyika wakati mzee wa watu anafanya kazi katika mazingira magumu na hatari lakini kwenu hilo ni ujinga hata akishuka malaika leo mtamponda tu!!!!

  Kumbuka siyo kila mwenye magari na majumba ni fisadi fuatilia uone kipato chake kama hakimruhusu kumiliki mali unazoziona Chato pia kumbuka huyo ni msomi na siyo kabweteka kama walivyo wajinga kama wewe unaowafagilia kwa taarifa yako hata kama baraza likivunjwa Magufuli atarudi tu.Kawaambie na waliokutuma kuchafua watu.
   
Loading...