Uchangiaji kwa kisingizio cha inflation unanibooooa!

Kasimba G

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
3,428
2,609
Katika thread nyingi tuu, wachangiaji katika maada mbalimbali wanahusisha ukata serikalini na inflation wakati mapato yameongezeka mala 3.75, lakini, mapato ya wakati wa mkapa ya average ya 160bli yaliweza kutosheleza matumizi serikalini na chenji kibao za matanuzi, I mean semina n.k. lakini sasa mapato ya maximum ya 600bil tunaambiwa ukata serikalini! Inaniboooa saana na watu hawaoni!

Hapa laazima kuna ufujaji, au la waziri wetu wa fweza ana mkono mbaya! Hebu zameni kidogo mnaweza kujau tatizo haswa ni nini. Utawala wa Mzee Mwinyi, ministerial change ilionyesha impact kubwa though ilikuwa in a negative way, si mnamkumbuka marehemu Stephen Kibona na waliomfuatia?

Inflation has nothing to do with this, That is my opinion, and I think I am right.

Nawasilisha.
 
Mods Naomba muirudishe thread hii upya, iliandikwa 14th Apr
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom